OME123
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,497
- 606
Bandugu gari yangu inayumba yumba au kukata kiuno.nimeipeleka kwa fundi amecheki rake hand, bush, rubber halijapona. Siku ya pili nimeipeleka kwa fundi mwingine akasema tairi itakuwa na uvimbe ndani.leo nimenunua tairi nyingine tatizo bado.naombeni msaada