Tatizo la Gari kumiss unapotaka kuondoka

BATULUNGE

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
390
631
Habari ya wikiendi wana jukwaa,
Kwa mwenye utaalamu naomba anijuze gari yangu aina ya Suzuki carry muda mwingine ninapotaka kuondoka ikiwa kwenye 2 au 1 nikijaribu kukanyaga mafuta inakosa nguvu kabisa ya kwenda na kubaki kutikisika km inataka kuzima hivi, nimeenda kwa Fundi ameangaliq plug zikaonekana zipo vzr, hivyo akashauri nioshe tank huenda kukawa na uchafu, nalazimika kuomba ushauri humu kutokana na Fundi mwenyewe kutokuwa na uhakika na hilo,
Ushauri wenu tafadhari
 
Baada ya kuosha tank na kubadilisha petro filter naona imerudi sawa
 
Back
Top Bottom