MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,239
- 6,775
Du! Watakuwa fisi-watu hao
- Jamani kumekuwa na tatizo la fisi kupita kiasi kanda ya ziwa mbaya zaidi zinatafuna watu na hasa mifugo mpaka kufikia pasaka mbuzi na kondoo 6 za nyumbani zilishatafunwa serikari ya mkoa simiyu inajua nazungumzia hili eneo ninaloishi Malampaka-maswa imebidi nipaze sauti humu.
- Tusaidiwe