Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,458
- 175,334
Kausafiri kangu ka 1ZZ-FE nilikasusa baada ya kuona hali ya sheli imekuwa tete nikaamua niimarishe mwili kwa miezi kadhaa.
Juzi niliamua kukiamsha kwa kukifanyia major service. Sasa kuna tabia ya ajabu imejitokeza japo ilikuwapo ila kwa sasa imezidi. Sikuzote nilifikiri huenda ni transmission fluid imechoka, nikaweka mpya na kusafisha filter yake.
Nimeweka na oil mpya na filter ya engine. Engine inakimbia kwenye 1100 rpm ikiwa idle hata baada ya engine kupata joto vizuri. Ukiweka kwenye gear yeyote iwe R au D inarudi 600rpm. Ukiweka neutral inaanza kukimbia tena kwenye 1100-1200 rpm.
Shida inaweza kuwa nini maana plugs nazo nilibadilisha tayari. Kwa hio rough idle hata wese haliwezi kuwa linaenda sawa.