lobikoki loti
Member
- Dec 5, 2014
- 69
- 27
Wanajf,hasa wale wenye ukaribu na mzee wa kaya,Hawa Ghasia au Kawambwa muambieni hii.Tangu mwezi July mwaka jana tunaambiwa serikali haina hela za chakula mpaka leo hii chakula ni cha shida.
Kwa mfano wanafunzi wa Milambo high school Tabora mkuu wametakiwa kuwa na nauli tayari kwani kuna uwezekano wa shule kufungwa kwa miezi mitatu mpaka July kwani hela za chakula hakuna.
Hebu fikiria Kassim Majaliwa alitembelea Milambo wiki chache zilizopita na ikatangazwa ameleta mahela leo hii wahusika wanadai ilikuwa hela ya kula "only one week".
Jamani mtusaidie kuikumbusha serikali sikivu ya chama cha mapinduzi wamesahau shule zetu na walipopita wao pia.
Kwako mheshimiwa Rais.