Nkwimba Ngulyati
Member
- Jul 7, 2014
- 34
- 11
Duuhh sitaki kuaminibkama unataka kumuuza mwenzio...!!
Habari wanajamvi, naomba kueleweshwa kuwa ni kwanini wanawake wengi waliojaaliwa na mwenyezi Mungu Uzuri wa tabia na maumbo mazuri kwanini hawaolewi mapema wanakaa mda mrefu?
Mimi hapa nilipo ninategemea kuolewa mwakani inshala mwenyezi Mungu akijaalia lakini rafiki yangu analalamika kila mara kuwa kila mwanaume anayempata hamuoi anabakia kumfunua funua tu, sasa hivi anamiaka 29 na mimzuri sana.
Natambua kuna watu wenye uelewa na hili suala tafadhali naomba ushauri ili nimsaidie mwenzangu kupitia Jukwaa hili.
Yeye yuko Dar kwamaana alikuwa anaishi Arusha na huyo anayetegemea kuishi naye yuko Dar na yeye.
marafiki kwa kusingiziwa mh...
marafiki kwa kusingiziwa mh...
Wadada kinachowafanya muanze ngono kabla ya kuolewa ndo kinawakosti.
Mi siwezi kuoa mtu naona kabisa ni duka la taifa, kila anaetaka huduma anapata halafu mnakuja kulalamika hamuolewi.
Tulia kwanza uwe na tabia nzuri wanaume watapanga foleni wenyewe