Tatizo la Ajira

Tatizo la Ajira

Hello JF,

Tatizo la ajira limehit record high,

Wengi wakiwa graduates,ambao system imewa FAIL,

Kwa kuwafundisha mavitu maguuumu ambayo yako nyuma na kasi ya sayansi na teknolojia

Tufanyeje mpaka 2020?????,

tukiendelea na system iliyopo,bado tutakuwa na watu wengi zaidi wasio na ajira,ifikapo2020,

Leo,nilikua nawaomba tuwe na MKAKATI ,yes MKAKATI,

Kwa batch ya wanafunzi wa sasa hivi,labda hatuwezi kurekebisha tatizo la ajira,ila lakini inatubidi tupange MKAKATI, mpaka ifikapo 2020 tuwe tumelipunguza tatizo kama sio kuondoa kabisaa

Hatuwezi kusubiri Nazi chini ya mwembe,
Namaanisha kama hatujafanya changes kwenye system,tusitegemee vitu vingine positive.

Kwanza kuwe na CHANGE OF SYLLABUS,huko vyuoni,wasome mambo ya current time,kama ni science,then wanafunzi wapewe mazingira halisi tutengeneze wana science wa karne yetu,sio kuwasomesha ma theory gani ya mwaka 47 huko..........LOL

Pia,kilimo,biashara na technology viwe ADDED kwenye syllabus

Kuwe na fungu la serikali ,stimulating money,kuwe na mashindano ya kuandika projects,wale wanaofit wawezeshwe................mtu akiwezeshwa atawawezesha wengine(kuajiri wengine)

Kuwe na warsha/kongamano may be kila weekend,watu wajifunze kilimo/biashara FREE,sio kama wale wezi wa 'motivational speakers,LOL

Mengine mtayajazia wana JF,

Tumsaidie wanzetu kny office
Yan watu wenye mawazo chanya kama yako huwa hawapati nafasi ya kuwa viongozi wakubwa ili watende vema na hata wakipata hugeuka wachumia tumbo,uko vizuri mkuu nimekupenda bure
 
asanteni wote kwa michango yenu,

la kuongezea labda kuwe na kodi ndogo kwa watu wanaoajiri more than 20 people,

hii itawapa motisha waajiri na wanaotaka kujiajiri,

sio kama sasa hivi,

kila mtu anaona afanye nini au akwepe vipi kodi,ili aweze kusimama,lol...................
 
Mindset ya kujiajir vijana wanayo tatizo mitaji. Kilimo kinalipa utaanza kulima huna shamba? Huna vitendea kaz? Huna Pesa ya madawa? Lawama zitarudi tu kwa serikali.

Swala LA walimu Tanzania bado kuna uhaba wa walimu mkubwa tu si Vijijini Wala mijini.

Sekta ya afya Usiongee.

Mahakama usiseme

Serikali ikejipanga vizuri nadhani tatizo la ajira lingekuwepo Ila si kwa miaka hii ya Sasa labda hapo baadae Sana.

Moja ya vitu nilivyoongea ni stimulating package,ambayo ni mfuko wa jamii,kusaidia ajira kwa vijana,mwenye project plan nzuri awezeshwe,nina maana apewe mtaji,au shamba,lol

kisha moja ya changamoto za mazingira yetu ni mtaji,as I said tuexplore kitu gani kinahitajika kwenye ajira and then tukiweke kwenye Elimu,watu wasome,wakimaliza hawataona tena kama obstacle,i believe kuna njia kibao za kupata mtaji kwa waliosomea biashara wanajua haya.................ni hii elimu tunayoitaka kwa wote..........................mwisho tatizo la mindset ni tumelilea wenyewe kutokana na misingi mibovu ya elimu na halitaisha kwa siku moja ni mkakati/continuous process....
 
tatizo la ajira ni la dunia nzima... sisi kwetu linazidi maana hatuna mindset ya kujiajiri...

kweli mitaji ni ishu kwa vijana.. ila kila ukoo ungeweka utaratibu wa kuchangiana mitaji kama mnavyochangiana harusi nina imani tungejmpunguza hili tatizo...

tuna mindset za kijinga sana na ndio maana hatuendelei

mkuu hizo mindset ni tumekuzwa nazo,tubadilishe mfumo wa elimu yetu,uone kama halitaeda samamba na kupunguzwa kwa tatizo la ajira.....................
 
Ngoja wamalize kwanza kupambana na upinzani na matajiri wala raha wakimaliza huko watakuja kushughulikia shida zenu... cha msingi tuwazidi kuwaombea kwa sana kama wanavyohitaji.
 
Moja ya vitu nilivyoongea ni stimulating package,ambayo ni mfuko wa jamii,kusaidia ajira kwa vijana,mwenye project plan nzuri awezeshwe,nina maana apewe mtaji,au shamba,lol

kisha moja ya changamoto za mazingira yetu ni mtaji,as I said tuexplore kitu gani kinahitajika kwenye ajira and then tukiweke kwenye Elimu,watu wasome,wakimaliza hawataona tena kama obstacle,i believe kuna njia kibao za kupata mtaji kwa waliosomea biashara wanajua haya.................ni hii elimu tunayoitaka kwa wote..........................mwisho tatizo la mindset ni tumelilea wenyewe kutokana na misingi mibovu ya elimu na halitaisha kwa siku moja ni mkakati/continuous process....

Mi naamini kwenye vipaji zaidi. While zetu na waalimu wajitahidi sana kushughulika na vipaji vya wanafunzi. Kiroho tunasema kusudi la Mungu kwa kila mwanaadamu.
 
mkuu sijakupata lol

Kujua kipaji chako na kukitumia kwa manufaa ya jamii ndio kusudi la mhusika kuumbwa. Kwa uafupi mafanikio huja yenyewe baada ya muhusika kujua kipaji/kusudi lake na kukiendeleza. Kutafuta mafanikio bila kujua kipaji au kusudi, unaeza loga
 
wengi hatuna uzalendo huo..lol
 
Nakwambia hata shule zetu walimu waendeleze sana vipaji. Mbwana Samata alikua kilaza class. Sasa yaliyokua smart sijui yako wapi, huenda hata hayana mchango kwenye taiga hili

umerusha gizani mkuu…………..yallahhh yamenipata,lol
 
mkuu hizo mindset ni tumekuzwa nazo,tubadilishe mfumo wa elimu yetu,uone kama halitaeda samamba na kupunguzwa kwa tatizo la ajira.....................

Hili linchi vijana wasipojitambua ndani yao kuna nini, hatuendi popote. Kinachoendelea ni kujistukia, mfano mtu anajistukia umri umeenda, miaka 30 anaanza kuvaa mashati ya kitenge anajadai kazeeka, lakini huyo huyo hajui ana potential gani, zaidi anatafuta ajira. Huenda ni mcheza movie, yani ukikutana nalo ni kama zuzu
 
mnhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh maneno makali hivyo ya nini bro? nilipropose tubadilishe mifumo yetu ya ufundishaji,mifumo mipya iwajengee wanafunzi kujiamini,,wengi wanasoma waajiriwe , sasa kama umri wa kutoka chuoni ni miaka 24,mpaka miaka 30 hujapata kazi,utaachaje kujiona mzee?l..LOLS ...mkiendelea kupiga kelele watu wajiajiri wakati hamjabadilisha SYSTEM ya ufundishaji,then endeleeni kusubiri embe chini ya mnazi.
 
Back
Top Bottom