Tatizo katika Ascend Y300

Tatizo katika Ascend Y300

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
6,537
Reaction score
4,944
Simu yangu huawei ascend nashindwa ku install app zaidi wala ku update. nikiingia play store ina download mpaka 100% halafu inaandika installing.Ina jumla ya applications 107.available memory 700mb.default storage SD card. MSAADA PLEASE
 
Ikiandika installing nini kinafuata? Inabaki hivyohivyo au inaandika nini baada ya hapo?
 
Back
Top Bottom