Njia za kufikisha ujumbe ziko nyingi jaribu kupanua maarifaKama lengo ni kufikisha ujumbe kwanini viongozi wasingeenda UN na gari moja tu.
Njia za kufikisha ujumbe ziko nyingi jaribu kupanua maarifa
1. Signing 9f petition
2. Use of mass media
3. Public meetings
4. Demonstration
5. Boycott
6. Round table discussions
Kwanini usiulize why Martin Luther Jr aliongoza Montgomery demonstration kudai civil rights za mtu mweusi asiende Washington kwa gari moja. Ujinga ni mzigo
Unatoka kijijini kweny shida ya maji huwezi kuja wapigania watu wa mjini ...Pambana mjenge vyoo kwanza ndio muanze maandamano hizo sehemu zenu washamba kibao.Wajinga wala miguu ya kuku wanaojiita wa mjini wanazidiwa na washamba hata kupigania haki zso hawajui mpaka wapiganiwe na wanaume kutoka mikoani midi Wendi wenu walala njaa.
Acha kumuhusisha Mungu na upumbavu wako.wewe ni chawa tu unayejali maslahi binafsi badala yakuifikiria nchi.Pongezi sana mkuu,ni mungu tu amekupa mwanga wa kuweza kuona kuwa CDM haifai
Ulisikiliza hoja zilizotolewa na chadema ukazielewa au unakurupuka tu kwasababu ya mitazamo yako tu mibovu?.CHADEMA ya mwaka 2021 inawatukana ACT kwa msimamo wao wa tume huru kwanza kuelekea katiba mpya
CHADEMA ya mwaka 2024 inakubaliana na msimamo wa ACT wa mwaka 2021 kuwa tume huru kwanza.
Kweli siasa ni dynamic š
Tutafika tu kwasababu bado nchi ina lundo la wajinga ila kupitia njia mbali mbali watazidi kupungua.Je Tufatifika ?!!!! Kwa masikitiko nasema safari bado ni ndefu....
Sisi kama wananchi na walipa kodi tumejikita kwenye petty issues za wangapi wamekuja au tuna wafuasi kiasi gani au nani ni zaidi !!!, Badala ya kuangalia issues ambazo zinatupiga / zinaongelewa...,
Narudia tena Safari bado ni ndefu...., mpaka tutakapoanza kuongelea issues na sio nani kaleta issue tutaendelea na haya Maigizo....,
- Maisha Magumu;
- Mgao wa Umeme;
- Mfumuko wa Bei na Na idadi kubwa ya Walamba Asali (Mchwa) na Chawa kuongezeka....
Tatizo kama hatuongelei Issues tunaongelea watu na kuleta UCHAMA bado yatakuwa yaleyale hata tukiwatoa hawa tukawaleta wale na bado tukawa tuna USISI na UWAO na sio Nini Hakifai no matter Nani amekifanya tutaendelea na haya Maigizo (Same Outcomes, Different Players)....Tutafika tu kwasababu bado nchi ina lundo la wajinga ila kupitia njia mbali mbali watazidi kupungua.
Manyumbu ni chadema, kama lengo ni kufikisha ujumbe bila kujali idadi ya watu wanaofikishiwa huo ujumbe hakukuwa na haja ya maandamano. Hata humu jf ujumbe unafika tuu.Kumbe sio kufikisha ujumbe ni kuangalia idadi ya watu......ccm itaendelea kuongoza manyumbu kwa kipindi kirefu sana
Wewe kwa mtazamo wako unafikiria ni kwa nini CDM waliandamana!?Kama lengo ni kufikisha ujumbe kwanini viongozi wasingeenda UN na gari moja tu.
Juzi tu Wajerumani Wameandamana kwa maelfu nani mshamba hapo?Washamba ndio wanaandama wale kutoka Mbeya , Morogoro ...Dar kila mtu na njaa zake anajitafutia ..Mtu ache biashara zake afuate ujinga wa biashara za watu ambazo ni siasa...
WoteJuzi tu Wajerumani Wameandamana kwa maelfu nani mshamba hapo?
Huyu atakuwa Bado kalala kama alikuwa kwenye maandamano ile njia ya kuanziĆ stendi ya Magufuli Hadi Posta atakuwa mwili wote unamuuma kameza Panadol anazinywa mara tatu tatu kutwaHebu Erythrocyte njoo huku ujielezeš
Hata yule mdau wa chadema kutoka kyela Erythrocyte alieleza kuwa wamekodi magari mawili kutoka kyela... akalalama mafuso na magari kutoka sehemu mbalimbali yanasumbuliwa njiani...
Nijuavyo mimi siasa maandamano yaliyofanyika usiku kwenye Guest house ni makubwa kuliko yake ya mchana tena M4C watu wa maji sanaa
PreGE2025 - Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale. Zaidi ya Mabasi 100...www.jamiiforums.com
Kilichotokea ni kutegea kutokana na hofu, lakini wakishajua maandamano yameruhusiwa utaona mtiti wake. CCMpamoja na kuwa hawasumbuliwi na Polisi, lakini mikutano yao wanasombana kwa maroli ndio iwe afadhali.Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema
1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema
2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu
3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015
4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko
Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Kwanza mlileta porojo kwamba Wananchi hawatajitokeza , baada ya Nyomi mnaleta porojo zingine kwamba walisombwa na mabasi !Hebu Erythrocyte njoo huku ujielezeš
Tathmini yako siyo sahihi, kumbuka maandamano haya yamefanyika siku ya kazi na pili polisi walifanya makusudi kuchelewesha kutoa majibu ya taarifa ya maandamano kutoka Chadema.Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema