Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

Wafuasi wa cdm wanadanganywa na fedhuli la kisiasa aisee ,eti mabadiliko ya katibu tumewasilisha ofisi za UN na walivyo majinga ikashangilia
Upe muda nafasi.... Ukipakwa dawa tulia ikuingie
 
Waliuza beans yao kwa vipande vya pesa
 
watu wadar nimakauzuuuπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
Yani tunapita sehemu watu badala wajiunge nasisi wanatushangaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kipindi cha magu walinunuliwa wabunge sio wananchi.
Chadema ilikosa sifa ya kupinga ufisadi au kutaja mtu kuwa ni fisadi baada ya gia ya angani 2015.
Hadi sasa hawaeleweki wanapambania nini.
Chadema ilifanya wapinga ufisadi wengi kumfuata Magufuli maana Magufuli alionekana kuupinga ufisadi kwa vitendo.
Baada ya kuondoka Magufuli chadema ikaungana na wahuni kumtukana Magufuli ili ionekane hakufanya chochote. Bila kufanya tathmini wananchi walimuonaje Magufuli. (Na hapa ndipo penye anguko kubwa la Chadema)
Kosa lingine Chadema wakaingia maridhiano yasiyoeleweka na saa100.
Serikali hii ya Samia imefanya mambo mengi yasiyovumilika.
Ufisadi kila kona.
wao wapo kimya wamelala usingizi wa pono.
Chadema Waligomea maandamano ya wananchi yaliyoratibiwa na Dr Slaa na Mwabukusi ya kudai bandari na katiba mpya ili kuilinda serikali ya saa100. Leo tutawaamini kwa lipi?
Hakuna mwananchi aliye timamu anaweza kuwaamini hawa.
Wamepoteza kuaminika na wananchi wamebaki mayatima wanasubiri nature iwaokoe.
Hadi Ccm kuruhusu waandamane walishajua chadema ya sasa sio tishio.
CCM wameitumia Chadema kumuongezea sifa Samia kwamba ni mwanafemokrasia.
 
..nguvu iliyotumiwa na Ccm kuyapinga na kuyahujumu maandamano ilikuwa kubwa mno.
Alie weka hii hoja hapa nae ni nyumbu tuu.
Hivi Dar wakazi wake ni watu wa wapi? 90%ya watu wa Dar ni wakuja hivyo maandamano yali fana.
Zaidi Ccm walijitahidi sana kuya hujumu.
 
Huenda watu wakaiona CDM ni weak lakini bado CCM wanaiogopa
 
Hata yule mdau wa chadema kutoka kyela alieleza kuwa wamekodi magari mawili kutoka kyela... akalalama mafuso na magari kutoka sehemu mbalimbali yanasumbuliwa njiani...
Mbowe Kwa Hilo la kuwaleta watu Toka mikoani anastahili pongezi katumia akili sana .Wanasema mzigo mzito mpe mnyamwezi.

Dar es salaam ya wajanja angempata nani wa kuandamama Kwa kutembea Kwa miguu kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta.Siyo Rahisi.Lakini wa mikoani wanaweza kutembea mwendo mrefu Kwa miguu wamezoea huko maporini Kwao

Mfano hata Mbowe mwenyewe mjanja alichagua njia fupi ya maaandamano kutoka Buguruni Hadi Posta njia ndefu kasakizia wa mikoani
 
Kwahiyo Chadema wana ushawishi mikoani?

Kwamba wana Dar ni wana Ccm?
Wanaokoteza okoteza watu kila mahali.

Dalglish ya kupoteza support ya watu maki I.
 
Athali ya bunge la Chama kimoja
 
Unapoandika Chadema kwa Dsm haina nguvu tena, umefanya comparison na chama kipi kingine chenye nguvu?

Hapa najua umewalinganisha Chadema kwa Chadema, ile ya 2015 na ya 2024, kwa msingi huo kwangu naona Chadema bado haina mpinzani kwenye siasa zetu.

Kama mazingira ya kisiasa yangekuwa fair, basi Chadema leo isingekuwa inaitwa chama kikuu cha upinzani, wangekuwa chama tawala.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwa hilo usijidangaye kabisa, Watu wengi wameshaumizwa sana polisi, kwa hiyo walikuwa na hofu ya kuandamana. sasa subiri waendelee kuona polisi hapigi watu kwenye maandamano ndio uje na tathimini yako. Kwasasa unajidanganya. Watu bado wanahofu.
 
Kati ya vitu nimewaona cdm wa ovyo ni hii ya sheria za uchaguzi,

Chadema walimponda sana Zitto aliposema tubadilishe sheria za uchaguzi, wao wakasema wanataka katiba mpya tu,
Leo hii wanaandamana wakitaka sheria za uchaguzi zibadilishwe πŸ˜‚πŸ˜‚ wangeungana na zito kipind kile wangekuwa mbali sanaa
 
Kuendesha chama inatakiwa fedha iende mashinani, angalau posho tu au hata ajira kwenye miradi ya chama. Fedha ikibaki juu tu kwa watu fulani basi, eti wakubwa mnakula halafu wadogo mnawaambia wapambanie chama!
 
Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm. Tunataka tume huru tu ya uchaguzi kisha uje utoe mrejesho vizuri.
 
CHADEMA ya mwaka 2021 inawatukana ACT kwa msimamo wao wa tume huru kwanza kuelekea katiba mpya
CHADEMA ya mwaka 2024 inakubaliana na msimamo wa ACT wa mwaka 2021 kuwa tume huru kwanza.
Kweli siasa ni dynamic πŸ˜›
 
Washamba ndio wanaandama wale kutoka Mbeya , Morogoro ...Dar kila mtu na njaa zake anajitafutia ..Mtu ache biashara zake afuate ujinga wa biashara za watu ambazo ni siasa...
Wajinga wala miguu ya kuku wanaojiita wa mjini wanazidiwa na washamba hata kupigania haki zso hawajui mpaka wapiganiwe na wanaume kutoka mikoani midi Wendi wenu walala njaa.
 
Mafisadi pekee na wafuasi wao ndio wanaweza fikiria hivyo.
 
Kumbe sio kufikisha ujumbe ni kuangalia idadi ya watu......ccm itaendelea kuongoza manyumbu kwa kipindi kirefu sana
No ya watu kwenye maandamano yoyote huwa na impact kubwa kuliko hata hayo mabango waliyobeba.
 
Wametaka Sheria za uchaguzi zibadilishwe au hiyo miswaada ya kipuuzi itolewe bungeni? Kwani nani kamzuia Zito kutimiza anachosimamia? Au Zito anataka mipango ya chama chake ipate support ya cdm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…