Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,906
Ila wewe jamaa inaonekana unapenda vile watu wanavyokuwa na hofu na corona,kwa sababu shughul zilizokuwa zimefungwa kwa hofu ya corona zimefunguliwa watu wanafungua mahotel yao na huo,hiyo inakupa picha ya hali ya corona ilivyo nchini ila wewe mkuu bado umekazania watu wapimwe corona tu sijui ni kipi unachokiona ambacho wengine hawakioni?