Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,299
- 46,753
Twende na Rungwe..Rungwe ndio rais wa mioyo ya watanzania wengine wanapiga kelele tu
Goodnight sis
Twende na Rungwe..Rungwe ndio rais wa mioyo ya watanzania wengine wanapiga kelele tu
Mkombozi wa kweli wa Tanzania ni ELIMU kitu ambacho watawala hawataki kabisa kutupatia, wengi tunadhani DIV:1 zetu ktk NECTA exams ndio elimu bora.Huyo Msaliti Lissu anahangaika tu!
Malizia kinywaji chako mapema kabla hujageuzwa asusa pindi utakapo poteza kumbukumbu zako kutokana ulevi wako. Kwa kutuambia hayo, ni lazima ukubali kuwa unaweka rehani heshima yako mbele ya jamii.Malizia bia ukalale kabla ya wahuni wa kinondoni hawajaanza kufanya yao kwa walevi
😂😂😂 Watu mnaongea aisee.Malizia bia ukalale kabla ya wahuni wa kinondoni hawajaanza kufanya yao kwa walevi