Tathmini ya spika wa bunge mpaka sasa

Tathmini ya spika wa bunge mpaka sasa

NgomaNgumu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
194
Reaction score
24
Nilishtushwa na spica wa bunge jinsi alivyohandle vurugu zilizotokea bungeni juzi kama sikosei iko video yake kwenye michuzi mpaka leo. Kuna ibara mbili zilinishtua sana. Kwanza ni ile aliyosema kua jamani tusiwe wajinga, haidhaniwi kua kwa wadhifa wake ni vizuri kutumia ibara kama ile wakati yeye mwenyewe alikua akikemea matumizi ya lugha chafu na kumuamuru mmoja wa wabunge atoke nje. Pili ni ile kumtaka mbunge akubali tu kuwithdraw hoja yake kwakua kwakufanya hivyo haitamcost chochote. Je wananchi haitawacost.
 
kamama kabishi kale!leo kameboronga sana kwenye muswada wa mahakama
 
Back
Top Bottom