Tathmini ya Shule za Sekondari za Watu binafsi na Wanasiasa (akina Mlaki na Tibaijuka) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tathmini ya Shule za Sekondari za Watu binafsi na Wanasiasa (akina Mlaki na Tibaijuka)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kaldinali, Oct 5, 2012.

 1. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu

  Nasikia Shule ya Neema Trust ni ya Mama Mlaki na Kuwa mara baada ya kutupwa nje ya serikali shule hiyo imemshinda na sasa imefungwa je habari hizi ni za kweli. Nimeona kijana mmoja akiilalamikia shule hiyo na maneno yake ni kama yafuatayo, nnanukuhu

  "baadhi ya shule za private sasa wanafanya biashara tu kutafuta hela ya leoleo. Kama shule ya Mh. Rita Mlaki NEEMA TRUST SECONDARY SCHOOL -pale AFRICANA... fee ni kubwa sana lakini matokeo sifuri. Na hakuna juhudi za kuongeza juhudi. Mama Mlaki naona anatafuta faida tu hana hata haja ya kuongeza ufanisi........ Wazazi chunga sana shule kama za akina Rita Mlaki....Hata HaogopiMungu kuibia wazazi walala hoi pesa zao"

  Other than that nimeona kwenye media jana kuwa shule ya Barbro Jahansson Girls ya mama Tibaijuka bado inaendelea vizuri. Is it because she is still inside the government.

  Other than that - kwa wale wenye ufahamu naomba mtujuze ni shule gani nyingine za watu binafsi zinazoendelea kufanya vizuri na ni zipi zinazochemsha e.g zile za kina Filbert Bayi, Mwanakatwe, Maria Kamu nk.

  Huu utafiti utasaidia wale wanaotarajia kupeleka watoto wao sekondari in the near future.

  Aksanteni
   
Loading...