Tathmini ya robo ya kwanza ya Mwaka, CHADEMA yaongoza

View attachment 2565224View attachment 2565225

Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka , Chadema inatajwa Dunia nzima kama chama cha siasa kinachoongoza harakati zote nchini Tanzania , ikiwemo harakati "Tukufu" ya Mapambano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , ambacho ndio kilio kikuu cha Watanzania .

Taarifa zingine zinadai kwamba Ujio wa Tundu Lissu na Godbless Lema , pamoja na kishindo cha Mikutano Kabambe ya hadhara iliyopangwa Kisomi na kuvurumishwa kwenye kanda kadhaa imekifanya chama hicho kujizolea umaarufu mkubwa , si tu Tanzania bali Dunia nzima .

Hata hivyo Taarifa kutoka ndani ya Chama hicho inaeleza kwamba kuanzia mwisho wa mwezi huu ndio kinaanza rasmi kufanya mikutano ya hadhara Nchi nzima na kwamba ile mliokuwa mnaiona huko Kanda ya Nyasa ilikuwa "FAGIA UWANJA TU" Mliokuwa mnaangalia sinema zamani mtanielewa kwamba kabla ya picha yenyewe kuanza , mlionyeshwa vipande fulani vilivyoitwa " Trela " ili kuwashawishi mlipe kiingilio kabla ya picha lenyewe kuanza .

Mungu Ibariki Chadema .

Mwisho , lakini si kwa Umuhimu , Nawashukuru Wana JF wote wa Jukwaa hili kwa kuniamini .
Hongera sana.
 
Hongera sana.
FB_IMG_1619042485662.jpg
 
Sema mmekula bingo mlivyoungo mkono ushoga kijanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika , mimi nitaweka kambi kwenye jukwaa hili kwa Taarifa zote za Uhakika , nilifikiria kujiondoa JF kwa mwaka huu lakini , mwanasheria wangu ameniomba nibaki mpaka itakapopatikana Katiba mpya
Kama iliwezekana kusitishwa kwa kesi mchongo,kuondoshwa zuio haramu la haki ya kikatiba ya mikutano ya vyama,naamini panapo majaliwa, Inshaallah,katiba mpya nayo itapatikana kwa uwezo wa Allah.
 
Amen
 
View attachment 2565224View attachment 2565225

Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka , Chadema inatajwa Dunia nzima kama chama cha siasa kinachoongoza harakati zote nchini Tanzania , ikiwemo harakati "Tukufu" ya Mapambano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , ambacho ndio kilio kikuu cha Watanzania .

Taarifa zingine zinadai kwamba Ujio wa Tundu Lissu na Godbless Lema , pamoja na kishindo cha Mikutano Kabambe ya hadhara iliyopangwa Kisomi na kuvurumishwa kwenye kanda kadhaa imekifanya chama hicho kujizolea umaarufu mkubwa , si tu Tanzania bali Dunia nzima .

Hata hivyo Taarifa kutoka ndani ya Chama hicho inaeleza kwamba kuanzia mwisho wa mwezi huu ndio kinaanza rasmi kufanya mikutano ya hadhara Nchi nzima na kwamba ile mliokuwa mnaiona huko Kanda ya Nyasa ilikuwa "FAGIA UWANJA TU" Mliokuwa mnaangalia sinema zamani mtanielewa kwamba kabla ya picha yenyewe kuanza , mlionyeshwa vipande fulani vilivyoitwa " Trela " ili kuwashawishi mlipe kiingilio kabla ya picha lenyewe kuanza .

Mungu Ibariki Chadema .

Mwisho , lakini si kwa Umuhimu , Nawashukuru Wana JF wote wa Jukwaa hili kwa kuniamini .

Nimeangalia Mara mbili mbili hiyo picha ya Kwanza nikatafakari na content yake , nikawaza sana kama hili taifa tutafika ! Nafsi inaniambia No , CCM ishatuchosha sana to be honest lkn CHADEMA sioni chochote inachkkifanya zaidi ya Harakati uchwara tu. Huu mkate wa taifa hatutokaa tule wote mezani maana fisi wa kijani hatokaa auweke hapo mezani, kama kweli CDM mnamaanisha fanyeni kama anavyofanya Babu hapo kenya, otherwise ni Upuuzi tu , eti Maridhiano , Maridhiano na FISADI afu we ndio tukutegemee kulikomboa hili taifa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nothing lasts longer
 
Back
Top Bottom