tzjamani
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 995
- 30
Nisaidie wana JF ipi ni ipi?
View attachment Tathmini ya kina uchaguzi 2010.xls
View attachment 16404
View attachment Tathmini ya kina uchaguzi 2010.xls
View attachment 16404
Aisee hio tathmini naona kama its a true picture ya nini kilichotokea kabisa.
Pamoja na kwamba inaonyesha Slaa ameshindwa lakini imeweka kwa ubayana na ukweli kabisa kura ambazo zinaonekana ni karibu na ukweli wa hali halisi iliyo kuwepo.
Swali langu, hizi kura za hii tathmini mlizipataje? au ilikua ni makadirio tu? Je mlitumia mawakala au watu wa kuaminika kupata idadi ya kura hizo?:bowl:
Hizo tahthmini zako naona zina walakini. Kwenye kura za slaa, Kikwete na Lipumba zina decimal points. hiyo haiwezekani. idadi ya mikoa haiko sahihi, Tanzania tuna mikoa zaidi ya 23.
Hizo tahthmini zako naona zina walakini. Kwenye kura za slaa, Kikwete na Lipumba zina decimal points. hiyo haiwezekani. idadi ya mikoa haiko sahihi, Tanzania tuna mikoa zaidi ya 23.
Ivi NEC kama wangeyatangaza haya tatizo lingekuwa wapi?Manake kama kushinda JK angekuwa ameshinda ingawa kwa tofauti ndogo tuuuuuuu
Imekula kwao NEC
Ila kama ndo hayo sasa mbona hayareflect kwenye ubunge?au ndo uchakachuaji?
Aisee hio tathmini naona kama its a true picture ya nini kilichotokea kabisa.
Pamoja na kwamba inaonyesha Slaa ameshindwa lakini imeweka kwa ubayana na ukweli kabisa kura ambazo zinaonekana ni karibu na ukweli wa hali halisi iliyo kuwepo.
Swali langu, hizi kura za hii tathmini mlizipataje? au ilikua ni makadirio tu? Je mlitumia mawakala au watu wa kuaminika kupata idadi ya kura hizo?:bowl:
Umeona decimal points kwa Slaa tu? mbona hata JK na Lipumba zina decimal points .Labda ungejiliuliza kwa nini decimal points na sio kusema sio sahihi.
Uchaguzi huu kutokana na ufisadi uliosimamiwa na JK kamwe hatutaweza kujua idadi halisi ya wapigakura au ni nani alishinda uchaguzi huo ua hata uhusiano kati ya kura za Raisi na za wabunge.................................idadi ya wapiga kura ilikuwa approx mil 8 wakati hiyo yako inaonyesha ni approx mil 13
hainyeshi kura zilizoharibika
Hii tathmini inatia shaka. Mbona Zanzibar hamna?