Tathmini ya gharama za maisha Dodoma

Kwa lugha nyepesi ni kuwa matumizi huongezeka kadri mapato yanyoongezeka. Ukiwa pa hata 1M kwa siku, bado matumizi yataongezeka. Cha msingi hapa sio kuwa gharama sehemu husika ni kiasi gani, ila sheria na taratibu zinaeleza nini kuhusu gharama za kujikimu unapokuwa nje ya kituo chako cha kazi. Mathalan, mtu unaweza ukapokea posho (per-diem+ sitting allowance) Tsh 150,000 lakini matumizi yako yakawa 50,000 tu, wakati mwingine zitakuwa 300,000 kwa siku hiyo hiyo. Pasipokuwa na nidhamu kwenye matumizi ya serikali, hata matumizi binafsi ya masurufu yatokanayo na serikali yatakuwa hovyo.

Kwa urahisi, gharama za hoteli na chakula zitakuwa juu kwa kuwa waheshimiwa wamekuwa na uwezo wa kuzilipa siku zote, na sio kwamba ni leo kwa kuwa wanataka kupandishiwa sitting kufikia Tsh 200,000.

Nakumbuka mwalimu wangu wa B-Kpng alitufundisha kuwa tatizo sio kipato ila watu hawako makini na fedha (People are not cleaver with money, Mwl-Msomali)
Huyo bibi ni mwongo sikuamioni kama ndo yeye anaeongelea kupanda kwa maisha Dodoma. Wakubwa hawa wafunguke wenyewe watuambie wanalala wapi kwa sababu ninavyosikia wengi pia hulala VETA hotel ambako chumba ni 30000 (elfu 30) na hakuna anae lala ST. Gaspar labda huko Dodoma Hotel
 
Kwa taarifa tu wenye mahotel Dodoma wameshasikia ongezeko la posho za vikao kwa wabunge na hivyo kuna kupanga vyumba nako bei juu zaidi. hakuna unafuu wa ongezeko hilo maana wafanya biashara nao wanatumbulia macho pesa hizo.
 
Gharama zilizopanda siyo za wananchi wa kawaida. Gharama zilizopanda ni za maisha ya wabunge, si unajua wanakula wapi wanalala wapi?
bila shaka wewe unakula kwa mama ntilie!
mkuu dodoma,sehemu ninazo kula mimi jioni na wao hua wanakuepo pembeni,na gharama ni zile zile za kawaida tu,kwa mfano sehemu inaitwa rainbow wabunge vijana utawakuta pale malanyingi tu,au dodoma hotel,mpaka mawazili hua wanakuepo pale menu zao ni 7000-14000 zilizonyingi.na viongozi wetu walio wengi wamekulia kijijini hawawezi wala hawavijui vyakula expensive!
 
naanza kufikiria ikwezekana wabunge wa zanzibar kama waje kwenye kujadili bajeti zinazo husu muungano tu kwa kweli sioni sababu ya sisi kuendelea kubeba mzigo mzito usio na maana tena kwa laki 330,000 kwa siku! haijakaa vizuri.
hii laki mbili ni sitingi allawance bado per diem 80,000 na posho ya mafuta 50,000 kwa siku sasa mbuge anafanya kazi gani anayolipiwa mshahara kwa kazi gani?
 
Gharama zilizopanda siyo za wananchi wa kawaida. Gharama zilizopanda ni za maisha ya wabunge, si unajua wanakula wapi wanalala wapi?
bila shaka wewe unakula kwa mama ntilie!
mkuu dodoma,sehemu ninazo kula mimi jioni na wao hua wanakuepo pembeni,na gharama ni zile zile za kawaida tu,kwa mfano sehemu inaitwa rainbow wabunge vijana utawakuta pale malanyingi tu,au dodoma hotel,mpaka mawazili hua wanakuepo pale menu zao ni 7000-14000 zilizonyingi.na viongozi wetu walio wengi wamekulia kijijini hawawezi wala hawavijui vyakula expensive!
 
Kwa hiyo bi kiroboto atafute sababu nyingine? You can't buy that,oh..Dom maisha yake yamepandaa..
 
Kwanza huwa wanachangia vyumba, mmoja akipata dem mwingine anampisha kwa muda, sasa hizo gharama zimeongezeka vipi?????
 
Hiyo nyongeza ya posho ni kwa ajili ya kutumbua pale CHAKO NI CHAKO kwa kuku, mbuzi na............(endelea...)!
 
Naomba mnijuze wana JF, kwani kilichopanda ni per diem au sitting allowance? Kwani sitting allowance wanaitumia kulipia malazi? Hii ni hela ya kikao tu mbunge kama hajaenda halipwi sasa inakuwaje iunganishwe na gharama za maisha? Isitoshe kwani wao wako nchi gani? Tanzania hii hii? Mbona wananchi hawajaongezewa au sisi gharama zetu ziko chini?? Hao wamejiongezea tu posho waache kusingizia gharama za maisha.
 
Back
Top Bottom