Ambassador_
Member
- Nov 27, 2020
- 26
- 49
Hatimae ile Aptitude Test iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kutoka PCCB imemalizika dakika chache zilizopita.
To be honest Test ilikuwa nyepesi but very Technical,kiasi kama ukiangalia kimapepe unaweza kuingia chaka.
Muda pia ulikuwa mwingi mno kutokana na aina ya maswali yaliyokuwepo,maswali mengi yalikuwa ni ya lugha tu (uelewa wa lugha ya kiingereza)na hesabu chache mno,maswali 45 masaa mawili,
Hofu yangu kutokana wepesi wa mtihani Panga lake sijui litakuwaje...
Let's wait n see...
Reporting live from Dodoma..