M4C ilikuwa kichaga zaidi nazani hata wewe umeona wengi waliopewa nafasi ya kuzungumza chochote ni wakaskazini.
2.mbowe aliponda kutangaza nia za ubuge au urais lakini kuna watu wawili wametangaza nia za ubunge serengeti na kwa mh chami.
3.kauli za kibabe za lema juu ya makampuni ya simu kana kwamba anahisa.
4.kauli ya nassari kwamba Tz ni laini sana kama maini
5!mwenyekiti mbowe kamaliza kuongea lakini bado kuna jamaa wanaendelea kuongea
6.mtangazaji hajui chochote hata jina la chama
slaa alikuwa moro akipambana,mbowe alikuwepo dar.zitto lazima abaki bungeni hawawezi kuliacha bunge bila kiongozi
Si busara sana kulalamika kwa mapungufu yaliyojitokeza katika tukio la leo na si vibaya kupongeza na kudumisha yote mazuri katika tukio hili hapo SERENA HOTEL.
Nini Tathmini yako Mpenda mbadiliko na nini kifanyike siku zijazo?
Lema amebuni mradi. Wachaga noma.
Nimeangalia hiyo M4C Star TV nilichokiona ni vituko vitupu ubabe wa kijinga wa Lema, anasema makambuni ya simu mkituhujumu tutapita mitaani tutakusanya kadi zenu tutazitupa chooni.
Nassari naye anasema nchi hii ni laini kama maini, Lema kaishachagua kabisa Chopa kabla ya michango.
Wizi mwingine kupiga picha na Mbowe Sh50,000
Halafu kwa nini simu zote za kuchangia zilikuwa zinatoka Arusha, na Kilimanjaro, sikusikia simu kutoka mikoa mingine.
Joyce Mukya (Mb) alikuwa anaboa, kama alijua anakuja kwenye hiyo shughuli, alipaswa awe ameshaongea na hao aliokua anawaita "watu wangu" wa arusha, na pale alitakiwa aje kuwakilisha tu. It was like amekurupuka hivi. Otherwise, mengine ni ya kawaida tu
Like Govt Like citizen....tunahitaji Majawabu siyo Majibu yaliombatana na kulalamika
Soma Zaburi 17.
Point, pamoja na Dogo Janja. In fact tukio zima lilikuwa la kustukiza, labda kama walikuwa wanapima uwezo wao wa kumobilize watu at emergency cases.Joyce Mukya (Mb) alikuwa anaboa, kama alijua anakuja kwenye hiyo shughuli, alipaswa awe ameshaongea na hao aliokua anawaita "watu wangu" wa arusha, na pale alitakiwa aje kuwakilisha tu. It was like amekurupuka hivi. Otherwise, mengine ni ya kawaida tu
Niseme ukweli kabisa...Shughuli ya jana ilikuwa poorly organized. Namnukuu Mwakitwange "Leo ndio nimejua kufanya kazi na wanasiasa". Lema, Nassari na Joyce Mukya walizidi mno kumuingilia MC na kutofuata ratiba. ni kama vile hakukuwa na ratiba na ndio maana hata ufungaji haukuwa mzuri
Umasikini mbaya kuliko mwingine ni ule wa akili! mawazo ya kimasikini kama haya ni hatari hata kwa mwenye kuyatoa!Lema amebuni mradi. Wachaga noma.
Muendelezo wa kuchangia m4c ni mzuri isipo kuwa maandalizi ya shughuri hayatakiwi kufanywa kwa kushtukiza kama hii. Huu ulitakiwa kuwa hata mpango wa majuma matatu au hata mwezi, kuiandaa shughuri kuwa katika viwango vya uhakika kuanzia uandaaji, ma mc wabobezi na kuhamasisha sana kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
Lakini lingine kubwa next m4c contributions gathering iwe inatoa mrejesho wa kilicho changwa na jinsi kilivyotumika. Mfano leo wangeweza ku breaka down mapato ya m4c Arusha na matumizi yake then impact yake kwa ujumla kwenye chama.
Muhimu.
Waziri kivuli wa fedha ambae pia ana cheo cha unaibu katibu mkuu kutokujihusisha na mambo ya chama kwenye fund rising ambayo naamini ni moja ya mambo muhimu na miongoni mwa majukumu ya pamoja ni dosari kubwa kwake. Hawezi kuwa raisi kwa kuota kwenye vyombo vya habari! Apambane ili chama kiopate fedha kifike kule anakota azipate kura za uraisi.
It was not well organised,the majority are not informed about the concerned event,poorly bogus mc(lema)kaskaziniasm dominance,wish I could see our becoming president the powertiller zitto zuberi kabwe kwani mambo yote yangekua barabara kabisa kwani jamaa ni mtaalam wa organisation,function ya watu wachache imewashinda ,je ile ya lekadutigite kigoma aliyoorganise jamaa ya maelfu ya watu mngeweza?next time mwambieni awafundishe topic on how to organise a functions,acheni kujifanya wajuzi wakati mko empty headed!
You have a personality syndrome. This is about doing things not about who is doing it. With or without Zitto M4C is here, will be here and there to achieve its moral and material objective