Tathmini: Lowassa amemfunika Dr. Slaa

Tathmini: Lowassa amemfunika Dr. Slaa

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Pamoja na kutoshinda kwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa, bado kuna haja ya kufahamu kuwa Lowassa amemzidi na kumfunika Dr. Slaa aliyegombea mwaka 2010 kupitia CHADEMA. Mwaka 2010, kura zilizopigwa zilikuwa 8,398,394 na Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 ambazo ni sawa na asilimia 26.34 ya kura zote. Mwaka huu, zilipigwa kura 15,193,863 na Lowassa kupata kura milioni 6 na ushee sawa na asilimia 39.97.

Mshindi wa mwaka 2010,Rais Kikwete alipata asilimia 61 na wa mwaka huu amepata asilimia 58.46. Ukitazama kwa jicho kali, utaona na kujua kuwa Lowassa amemzidi kwa mbali sana Dr. Slaa. Pia, CCM imeendelea kupungua kwa asilimia za kura zake. Ni wazi sasa kuwa, Lowassa ameongeza hta majimbo ya uchaguzi kwa CHADEMA na CUF pamoja na vyama hivyo kupoteza baadhi ya majimbo yao.

Lowassa amesaidia kupoka ngome mbalimbali za CCM na kuzikabidhi CHADEMA na CUF. Mwaka huu, kwa uwiano wa kura za wagombea wa Urais wa Tanzania, CHADEMA itapata nafasi za viti maalum kwa wingi zaidi na kutoachwa mbali na CCM kama ilivyokuwa mwaka 2010. Haya pia ni mafanikio yaliyoletwa na Lowassa huko CHADEMA na kumzidi kwa mbali Dr. Slaa wa mwaka 2010. CHADEMA ilicheza karata zake vyema.

Kila la kheri watanzania!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
sawa mkuu ila hatukushindwa katika box la kura tumeshindwa na ubabe wa jk &co.
 
Mzee naomba ufafanuzi kuhusu utaratibu wa kupata viti maalum.Kigezo ni kipi, ni idadi ya wabunge wa kuchaguliwa ama kura za urais?
 
Ni kura za Urais Mkuu. Mwaka huu, viti maalum vitapatikana kwa CCM na CHADEMA tu.

Mzee Tupatupa
 
Licha ya mimi kuwa mwanaccm lakini ninakili haya matokeo sikuyategemea..rsilimali ccm ilizotumia,wasanii,kuchonganisha ukawa hadi dr silaa na prof libpumba wakaondoka..kujumlisha na record ya magufuri..bado tumepata kula 58% na kupoteza ngome muhimu kama mbeya,iringa,tanga,arusha na huenda jiji la dar+mtwara....hii inaonyesha ccm kama ingemusimamisha asharose migiro au yule mama wa zanzibar basi ccm tungeshindwa vidaya.ingebidi tume ifute uchaguzi ili kutunyenyua.haya matokeo kwa ccm siyo ya kushangilia sana
 
Hujaelezea hapo katikati ya 2010 na 2015 effort aliyoweka Dr Slaa kuimarisha na kupanua chama..
Ukweli ni huu, siku Lowassa amepitishwa na UKAWA kugombea, CCM ilifanya sherehe maana walijua hiyo move ingekuwa mwanzo wa mwisho wa agenda ya ufisadi (agenda pekee iliyoipandisha chadema chati)...In short, watu wenye akili (wanajiita Chadema Halisia) walishtukia sanaa za Mbowe na wakakaa pembeni...
Sasa tumeshuhudia Lowassa akisimama majukwaani pamoja na rejects- Kingunge, Lau Masha, Sumaye and the likes...
Imagine hayo majukwaa yangekuwa replaced na Dr Slaa na Lipumba!
#MboweMustGo
 
Slaa alikijenga chama kama taasisi, Lowassa akajijenga yeye kama muhimu kuliko chama taasisi. Leo hii ondoa Lowassa CHAgaDEMA, utagundua kuwa NGO hii iko hoi
 
Slaa ni bora mara 200 kuliko Lowassa.Lowassa ni nguvu ya FEDHA na kumbuka kaanza kitambo 2008.Halafu Lowassa amekuwa "backed up" na UKAWA ambayo ni vyama vinne.Kwa vyama 4 plus Lowassa mwenye nguvu ya fedha 39% ni ndogo sana.SILAA WA 2010 WATU WALIMPENDA KUTOKA MOYONI KABISA NIKIWEMO MIMI SEMA CCM WALITUMIA UZOEZI WA MIAKA 50 NA NILIUMIA ALIVYOSHINDWA INGAWA ALINITOKA AKILINI ALIVYOANZA KUTUMIWA NA MBOWE-SAKATA LA ZZK.Lowassa kaua vyama 4 kwa mpigo.SUBIRI MTAFUTANO UANZE MAANA KUNA (TeamLowassa,4U Movement,CDM Asilia,NCCR Mageuzi,NLD na CUF).
 
Pamoja na kutoshinda kwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa, bado kuna haja ya kufahamu kuwa Lowassa amemzidi na kumfunika Dr. Slaa aliyegombea mwaka 2010 kupitia CHADEMA. Mwaka 2010, kura zilizopigwa zilikuwa 8,398,394 na Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 ambazo ni sawa na asilimia 26.34 ya kura zote. Mwaka huu, zilipigwa kura 15,193,863 na Lowassa kupata kura milioni 6 na ushee sawa na asilimia 39.97.

Mshindi wa mwaka 2010,Rais Kikwete alipata asilimia 61 na wa mwaka huu amepata asilimia 58.46. Ukitazama kwa jicho kali, utaona na kujua kuwa Lowassa amemzidi kwa mbali sana Dr. Slaa. Pia, CCM imeendelea kupungua kwa asilimia za kura zake. Ni wazi sasa kuwa, Lowassa ameongeza hta majimbo ya uchaguzi kwa CHADEMA na CUF pamoja na vyama hivyo kupoteza baadhi ya majimbo yao.

Lowassa amesaidia kupoka ngome mbalimbali za CCM na kuzikabidhi CHADEMA na CUF. Mwaka huu, kwa uwiano wa kura za wagombea wa Urais wa Tanzania, CHADEMA itapata nafasi za viti maalum kwa wingi zaidi na kutoachwa mbali na CCM kama ilivyokuwa mwaka 2010. Haya pia ni mafanikio yaliyoletwa na Lowassa huko CHADEMA na kumzidi kwa mbali Dr. Slaa wa mwaka 2010. CHADEMA ilicheza karata zake vyema.

Kila la kheri watanzania!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar ni

Ni kweli ukupima kwa namba loqassa kampita dr slaa ika sasa inatakiwa kufanyika tarhmini makini sana ili tupate facts zitakazosaidia kujenga nchi.
Sasa ingawa mimi ni ccm ila nimefurahi sana kwa upinzani kupata viti vingi vya ubunge naomba pia hivyo vilivyobaki navyo viende upinzani ili bungeni pawepo na ushindani wa nguvu ya hoja
 
Mzee Tupatupa wa Lumumba,

Kwanza nikupe big up kwa kuliona hili ambalo ni ukweli mtupu. Kuna watu wamembeza sana EL baada ya kujiunga na CDM/UKAWA wakisema kuwa hawezi kumfikia Dr. Slaa. Mimi niliikuwa nawashangaa sana. Nidhahiri kuwa wamegundua kosa lao kwamba hawakuwa sahihi.

Kwa taarifa tu ni kwamba kama Serikali ya Madikteta wa CCM wasingefanya Uchakachuaji ikiwa ni pamoja na kuwadhibiti watu wa IT wa CDM/UKAWA ili kuvuruga majumuisho ya kura za UKAWA nina hakika CM wasingelipenya safari hii.

Tuna hakika Magufuli anajua, Kiwete anajua na CCM wanajua kuwa KURA zilizomwingiza JPM Ikulu ni kura za wizi na hivyo basi Urais wake ni haramu.
 
Pamoja na kutoshinda kwa Ndugu Edward Ngoyai Lowassa, bado kuna haja ya kufahamu kuwa Lowassa amemzidi na kumfunika Dr. Slaa aliyegombea mwaka 2010 kupitia CHADEMA. Mwaka 2010, kura zilizopigwa zilikuwa 8,398,394 na Dr. Slaa alipata kura milioni 2.2 ambazo ni sawa na asilimia 26.34 ya kura zote. Mwaka huu, zilipigwa kura 15,193,863 na Lowassa kupata kura milioni 6 na ushee sawa na asilimia 39.97.

Mshindi wa mwaka 2010,Rais Kikwete alipata asilimia 61 na wa mwaka huu amepata asilimia 58.46. Ukitazama kwa jicho kali, utaona na kujua kuwa Lowassa amemzidi kwa mbali sana Dr. Slaa. Pia, CCM imeendelea kupungua kwa asilimia za kura zake. Ni wazi sasa kuwa, Lowassa ameongeza hta majimbo ya uchaguzi kwa CHADEMA na CUF pamoja na vyama hivyo kupoteza baadhi ya majimbo yao.

Lowassa amesaidia kupoka ngome mbalimbali za CCM na kuzikabidhi CHADEMA na CUF. Mwaka huu, kwa uwiano wa kura za wagombea wa Urais wa Tanzania, CHADEMA itapata nafasi za viti maalum kwa wingi zaidi na kutoachwa mbali na CCM kama ilivyokuwa mwaka 2010. Haya pia ni mafanikio yaliyoletwa na Lowassa huko CHADEMA na kumzidi kwa mbali Dr. Slaa wa mwaka 2010. CHADEMA ilicheza karata zake vyema.

Kila la kheri watanzania!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

With all respect I beg to differ on the following grounds!
1.slaa alikua anapambana na rais anaetetea kiti chake haikua kama kwenye uchguzi huu amabo kila upande ulikua na mgombea mpya
2.wakati slaa anagombea hali ya upinzani haikua kama ya leo
angalia slaa aligombea kwa
tiketi ya chadema pekee hapakua na UKAWA leo kuna UKAWA na bado kiasi kilichongezeka ni kidogo sana

kwa kifupi LOWASSA ni Liability kwa upinzani
 
Lowassa amevunja mwiko wa wana CCM kuona kwamba kuhamia Upinzani ni dhambi kubwa mno. hili linawezekana sasa na tutegemee wana-CCM wengi tu ambao hawakufurahishwa na mchakato wa uchaguzi huu kuingia ngome ya wapinzani.

Hakuna kukata tamaa, kazi ya kulikomboa taifa lazima isonge mbele!!
 
Ni kura za Urais Mkuu. Mwaka huu, viti maalum vitapatikana kwa CCM na CHADEMA tu.

Mzee Tupatupa

Unapotosha kasome katiba ! ni idadi ya kura wanazopata wabunge kiuwiano ndio zinazoamua ugawanaji wa viti maalum
 
Mzee Tupatupa wa Lumumba,

Kwanza nikupe big up kwa kuliona hili ambalo ni ukweli mtupu. Kuna watu wamembeza sana EL baada ya kujiunga na CDM/UKAWA wakisema kuwa hawezi kumfikia Dr. Slaa. Mimi niliikuwa nawashangaa sana. Nidhahiri kuwa wamegundua kosa lao kwamba hawakuwa sahihi.

Kwa taarifa tu ni kwamba kama Serikali ya Madikteta wa CCM wasingefanya Uchakachuaji ikiwa ni pamoja na kuwadhibiti watu wa IT wa CDM/UKAWA ili kuvuruga majumuisho ya kura za UKAWA nina hakika CM wasingelipenya safari hii.

Tuna hakika Magufuli anajua, Kiwete anajua na CCM wanajua kuwa KURA zilizomwingiza JPM Ikulu ni kura za wizi na hivyo basi Urais wake ni haramu.

Mungu atafanya ngoja tusubiri majira yake
 
Mmezidiwa ujanja na CCM mlitaka kuiba kupitia vijana wenu, wamewazidi kuiba!
 
Mungu ibariki Tanzania.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu wabariki UKAWA.

Mungu tubariki Watanzania wote, Amin
 
Wakati ule haukuwa muungano kama sasa, na wakati ule wapiga kura hawakuwa wengi kama mara hii, mara hii wamekuwa mara 2 ya 2010, kama unatazama hivyo Hata magufuli kapata kura nyingi zaid ya kikwete 2010
 
Back
Top Bottom