Wanajamvi naombeni ushauri wenu
Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo
Wanajamvi naombeni ushauri
wenu
Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao
washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa
nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea
mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka
usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata
nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje
eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia
ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana
kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na
masomo

Pole mwayaunaweza ukawa unawazazi wakawa wana mawazo ya zamani watu8 seriously miii mama angu ananambia nimeolewa 18 sasa wewe 22 unasubiri nini sii uolewe and then utaendelea kusoma, u think that make sense sii wote walopata bahati ya wazazi smart lol
Wanajamvi naombeni ushauri wenu
Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo
Thank u i feel like u r by big sister cuz ata mama angu anasema mii nimeolewa 18 wewe unasubiri nini kwani huwezi olewa ukasoma. Mii sidhani ukiolewa kuna masomo iyo kwangu big No nitakomaaa na kitabu na sitohitaji mume mpaka nipate kazi.