Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 672
- 2,283
Kama kuna mtu muhimu kwasasa basi ni wewe.
Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!
Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!
Kwani Heche yupo mafichoni?Kama kuna mtu muhimu kwasasa basi ni wewe.
Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!
Huoni watekaji wapo humu wakijisifu kuwateka kadhaa na kuwa bado watateka?Kwani Heche yupo mafichoni?
Dogo una umri gani?Hivi waganga wa kienyeji wa siku hizi ni feki? ina maana dawa zao za mazindiko usionwe na kunaswa na maadui hazifanyi kazi? inatakiwa watekaji wakija waone giza na utelezi, washambuliwe na mizuka
kah!Dogo una umri gani?
Nafikiri hizi dawa anazo Zitto Ruyagwa Kabwe tuHivi waganga wa kienyeji wa siku hizi ni feki? ina maana dawa zao za mazindiko usionwe na kunaswa na maadui hazifanyi kazi? inatakiwa watekaji wakija waone giza na utelezi, washambuliwe na mizuka
🥶Kama kuna mtu muhimu kwasasa basi ni wewe.
Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!