Taswira ya taifa letu kwa sasa...! Wapi tunakwenda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taswira ya taifa letu kwa sasa...! Wapi tunakwenda?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mhafidhina, Jan 24, 2011.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa hali hii ni wapi tunaelekea. Tofauti ya Matajiri na masikini, walionacho na wasionacho...!

  Hii ndio taswira ya maisha ya sasa...! So sad.


  watoto 1.jpg  Angalia tofauti iloyopo...!  Watoto 2.JPG
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bahati mbaya bado wananchi wengi wanaona kwamba ufukara ni majaliwa ya Mola, na ndo maana hata ukiwahubiria ukombozi bado very few wanakuelewa~! There is a need ku-mobilize wananchi na kuwa asure kwamba umaskini uliopo miongoni mwetu unaweza kuondolewa kwa kufanya kazi kwa bidii kwa kujituma zaidi, na kuchagua viongozi waadilifu!
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Dah, hii picha inaweza mfanya mtu akaingia msituni hivi hivi...
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye blue umenena, mengine yote ni brabra.
   
Loading...