Waigizaji hemed na Mlela waramba midomo. Wakianza kuongea you know you know kibao, Unategemea nini?
Wale waliogiza Siri ya Mtungi ndio nilionaga wengi wao ni waigizaji.
Maigizo ya series kidogo uwa wanajitahidi, ila movie hapana kabisa.
Utakuta kwanza movie nzima imeigiziwa ndani, nje ni scenes chache sana (hapa nilipewa sababu ya jamaa flani, alisema kucontrol sauti nje kazi sana, upepo, makelele ya nje, etc sauti zitakua hazisikiki, wenzetu ulaya au kwenye matangazo mafupi ata hapa Bongo wanafanyaga kitu inaitwa Audio Automated Dialog Replacement, au Dubbing, unakuta wanaigiza nje ila sauti zinasikika vizuriii, tatizo TZ dah wana haraka, movie inaanza kushutia January ikifika may ipo sokoni
Mtu unakuta muongozaji yeye,
Mtunga story yeye.
Muiguzaji yeye.
Kila kitu yeye, then utegemee movie itoke ya kueleweka?
Wenzetu director anaweza kaa miaka hadi mitano then akija kutoa anatoa dude na linaandaliwa miezi 6 hadi mwaka watu wanaipika tu movie.
Hadi aibu kuangalia.
Ni fursa lkn mkuu, inapaswa kuitumua kama una uwezo andaa mkakati utapiga bao kwenye hiyo sector. uwe na mtaji na maarifa uzuri ukitaka kujifunza technolojia iko wazi
Uchumi tu kaka. Ila ukiwa vizuri, unakuja unapiga hela sana tu.
Tatizo ni kukosa budget na soko ni dogo sana, lazima kwanza kutengeneza soko kubwa litakalo leta faida.