Mshindi wa Vita
JF-Expert Member
- Mar 5, 2025
- 260
- 98
Nikuulize weweJe zinawafikia walengwa inavyotakiwa?
Mi niliko malalamiko ni mengi,na maafisa wanaohusika katika ugawaji wa hizo pesa,wanalalamikiwa kujilimbikizia mali.Nikuulize wewe
Mkoa gani na Wilaya gani?Mi niliko malalamiko ni mengi,na maafisa wanaohusika katika ugawaji wa hizo pesa,wanalalamikiwa kujilimbikizia mali.
Waneemeke wasiojiweza na isiwe hongo ya uchaguzi.TZS383bn za Rais Samia zatunisha mfuko TASAF
Rais Samia ameongeza kiwango cha fedha kwa ajili ya kunusuru kaya masikini kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 ikiwa ni ruzuku ikilenga kuongeza kipato cha kaya masikini ili ziweze kumudu gharama za maisha na mahitaji ya msingi. Kupitia Mpango huu wa kunusuru Kaya Masikini (TASAF) idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
HATIMAYE WASIOJIWEZA WALAMBA TZS383BN ZA SAMIA
Inauma sana mzee kumbe na wewe unawafahamu ...Hao nasema watakufa midomo wazi...wazee familia maskin wanachukuliwa sana pesa zao hizo..na watu wametajirikia kupitia wazee hao waliochoka na kaya maskin ....watu wanajipigia tu imagine kuna mwamba kajenga hadi gest kupitia pesa za walala hoi
Na unakuta labda alitakiwa alipwe laki Moja..nyingine 90 imepigwa panga na wale majamaa ....nimeshakutana na hao wazee hua nawaonea huruma sana sana ...hii nchi ni laana tupuKuna Babu Mmoja analipwa elf Kumi na mbili mia Tano (12500) Kwa mwezi
Hili ongezeko la wanufaika (maskini) maana yake umaskini umeongezeka pia.idadi ya wanafuika imeongezeka kutoka 5,000,000 hadi 5,202,655 mwaka 2024 sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655
Maneno tu hayoDeni la taifa linaonyesha Kila mtanzania anadaiwa million 8 umefikia wapi kulipa deni lako?
Wengine wanasomesha watoto wao nje huko.watu wanajipigia tu imagine kuna mwamba kajenga hadi gest kupitia pesa za walala hoi