TASAF post

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Kuna yeyote aliyeitwa usaili Wa TASAF walitangazaga nafasi za kazi last month
 
Mnauliza humu kwani mlileta tangazo humu? Km hamku share na wengine basi tulieni na sasa pia!!

Mm sijui lolote labda wanaojua watawaleteeni habari!!
 
Waajiri nao siku hizi hawaeleweki.

Hawa tasaf walisema wataita baada ya siku 14 ila wamekuja kuita baada ya mwaka kupinduka...........baada ya miezi zaidi ya mitano.
 
Back
Top Bottom