TARURA Kiteto yapanga kukusanya Tsh 300 kila siku kwa bodaboda inayopaki pembezoni mwa barabara

Hii nchi inaongozwa na wagonjwa wa akili. Naanza kuamini kabisa hii nchi kuna watu hawaitakii mema kabisa.
 
Kwema ndugu zangu.

Juzi walikuja TARURA kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(300/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa barabara.

1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi)
2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka)
3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia moja kwa mwaka TARURA-kiteto watakusanya hio pesa.
Kiteto ni wilaya ya pembezoni unaweza kukuta hata bodaboda hazizidi 10
 
Back
Top Bottom