Juaangavu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2009
- 935
- 132
Jimbo la uchaguzi la Tarime lililokuwa ngome ya Chadema ktk mkoa wa Mara limechukuliwa na mgombea ubunge wa CCM. Pia ktk kata 30 za Jimbo hili, CCM wamenyakua kata 17, Chadema 12 and CUF wameondoka na kata 1 (hii imechukuliwa na Charles Mwera - aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema na kisha kuhamia CUF, yeye alikuwa akigombea ubunge na udiwani). Source Radio One