Elections 2010 Tarime yaangukia CCM

Juaangavu

JF-Expert Member
Nov 3, 2009
935
132
Jimbo la uchaguzi la Tarime lililokuwa ngome ya Chadema ktk mkoa wa Mara limechukuliwa na mgombea ubunge wa CCM. Pia ktk kata 30 za Jimbo hili, CCM wamenyakua kata 17, Chadema 12 and CUF wameondoka na kata 1 (hii imechukuliwa na Charles Mwera - aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema na kisha kuhamia CUF, yeye alikuwa akigombea ubunge na udiwani). Source Radio One
 
du masikitiko kwa mustakabali wa mapinduzi nchiniu........wana tarime vp tena mnaiangusha nchi?.......tulitegemea mtakuwa wa mfano mkwa watz wengine badala ytake mmekubali kurubuniwa na mafisadi.........
 
CCM wamechakachua wakati mabomu yanapigwa ndio jamaa akachomekea kura
 
Tarime,,haiwezekani - full kuchakachua - ccm hawa,michezo michafu wataacha lini!!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom