ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,005
- 50,733
Bwana Bwanga ambae inadaiwa alikuwa Maarufu sana mjini Tarime amejinyonga Hadi Kufa kisa Kukimbiwa na Mke na Watoto.
Haijafahamika mara Moja chanzo Cha Mke kumkimbia Bwana Bwanga.
===
MKAZI wa Mtaa wa Ronsoti, kata ya Nyamisangura katika Halmashauri ya Mji
Tarime, Charles Bwanga, amekutwa amejinyonga hadi kufa chumbani kwake kwa kutumia chandarua wakati wa usiku wa Sikukuu ya Krismasi.
Imedaiwa na majirani kuwa huenda Bwanga ambaye ni maarufu mjini hapa, amefikia hatua hiyo ya kukatisha uhai kutokana na msongo wa mawazo baada ya kukimbiwa na mke na Watoto.
Diwani wa Nyamisangura, Thobias Ghati, na mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye, walieleza kusikitishwa na kifo cha Bwanga ambaye alikuwa maarufu mjini hapa.
“Tumesikitishwa na kifo cha kujinyoga cha mkazi wa mtaa wetu huu wa Ronsoti. Inawezekana huenda alikumbwa na msongo wa mawazo baada ya kukimbiwa na mke pamoja na watoto na kwenda kuishi mbali na yeye na kubaki mwenyewe.
Nipashe
===
My Take
Tuliambiwaga Wakunya ni jasiri sana ,imekuaje Sasa?
Wavaa suruali na Wana Sura za kiume Wanaongezeka ila Wanaume Halisi Wanazidi kupungua.