Tarime: Ajinyonga kisa kukimbiwa na mke

Acha na kitu inaitwa msongo wa mawazo trust me ukiexperience hiyo kitu hata upewe nini katika hii dunia huto weza ona furaha ya maisha narudia tena usiombe yakukute ishia tu kusikia tu wengine.
Kila nikikumbuka utamu wa yogart haswa yenye ladha mbali mbali ,msongo wa mawazo nauweka pembeni
 
Bwana Bwanga ambae inadaiwa alikuwa Maarufu sana mjini Tarime amejinyonga Hadi Kufa kisa Kukimbiwa na Mke na Watoto.

Haijafahamika mara Moja chanzo Cha Mke kumkimbia Bwana Bwanga.

===

MKAZI wa Mtaa wa Ronsoti, kata ya Nyamisangura katika Halmashauri ya Mji
Tarime, Charles Bwanga, amekutwa amejinyonga hadi kufa chumbani kwake kwa kutumia chandarua wakati wa usiku wa Sikukuu ya Krismasi.

Imedaiwa na majirani kuwa huenda Bwanga ambaye ni maarufu mjini hapa, amefikia hatua hiyo ya kukatisha uhai kutokana na msongo wa mawazo baada ya kukimbiwa na mke na Watoto.

Diwani wa Nyamisangura, Thobias Ghati, na mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel Kiboye, walieleza kusikitishwa na kifo cha Bwanga ambaye alikuwa maarufu mjini hapa.

“Tumesikitishwa na kifo cha kujinyoga cha mkazi wa mtaa wetu huu wa Ronsoti. Inawezekana huenda alikumbwa na msongo wa mawazo baada ya kukimbiwa na mke pamoja na watoto na kwenda kuishi mbali na yeye na kubaki mwenyewe.

Nipashe

===

My Take

Tuliambiwaga Wakunya ni jasiri sana ,imekuaje Sasa?

Wavaa suruali na Wana Sura za kiume Wanaongezeka ila Wanaume Halisi Wanazidi kupungua.
Huyo siyo mkuria
 
Nikiwaambia kanda maalumu wamekua mchele mchele hamuamini haya UMUGHAKA njoo ukazike kenge mwenzako mchele mchele😂😂😂
 
Hapo haujaongezea nyama ya ngombe kavu na kachumbari yenye pilipili kwa mbali.
Wali+Maharage+Nyama kavu+Kachumbari ya uswahilini+Ndizi +mirinda nyeusi/fanta pineapple 🍍=UTAMU JUU YA UTAMU
Tuweke vyote pembeni.. hapo hujajumlisha utamu wa Mbususuh.. unaacha mbususu unajinyonga wakati kuna watu wanateseka wanatumia fedha nyingi ili wapate pumzi ya kuiona kesho.. huyo jamaa maiti yake ichapwe viboko
 
Watu wanaamini wanaojiua ni madhaifu lakini ni watu majasiri sana swala la kujitoa uhai si swala la kitoto we kuchukua wembe tu nakujichanja inaweza kuwa inshu sembuse kujitoa uhai
Wadhaifu sana wa nafasi na hawafai ,Bora limejiua lenyewe Huwa wanauaga wenzao Hawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom