Tarimba Abbas: Wabunge tumepitisha Tozo Wananchi wakatuzomea sana na Tozo hizo zimeenda kuliwa kwenye Halmashauri!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,018
142,058
Mbunge wa Kinondoni mh Tarimba Abbas amesema ni aibu sana kwa Madiwani na maafisa wa Halmashauri kufisadi Fedha za Tozo

Wabunge tulipopitisha Tozo tulisemwa na kuzomewa sana na Wananchi huko mitandaoni lakini wenzetu wa Halmashauri badala ya kuzitumia vizuri wao wameziiba na kula, amesema Tarimba

Chanzo: TBC
 
Mijitu ya CCM hainaga akili
 
Wanasiasa wanakula pesa afu watumishi wanasingiziwa.
 
Mbwa ccm
 
Achana na hizo pesa za tozo wakurugenzi wa halmashauri wanakula na kuvimbiwa pesa nyingi tu za dhulma
 
Nime angalia Bunge. Bunge halina hoja.

Badala kuongelea miradi, ufisadi, huduma jamii in reference to CAG report wao wana ongea utumbo utumbo tu. Wakati hati iliyo mbele yao ni Ripoti ya CAG!!
JPM ktk hili utukosea sana!!
 
Wakuu wa JF salam kwenu. Naomba kujua yafuatayo:-
1. Report ya CAG inayojadiliwa bungeni ni ya mwaka gani?
2. Tozo zilizolalamikiwa zilipitishwa bungeni mwaka gani?

Ahsante
 
Wakuu wa JF salam kwenu. Naomba kujua yafuatayo:-
1. Report ya CAG inayojadiliwa bungeni ni ya mwaka gani?
2. Tozo zilizolalamikiwa zilipitishwa bungeni mwaka gani?

Ahsante
Ama kweli kusoma kuelewa, kukesha mbwembwe.

Hakuna report ya CAG inayojadiliwa hapo, bali mbunge anafanya kazi yake ya kuisimamia serikali na kwa upande wake ndio anasema fedha za tozo zinaliwa huko hivyo serikali ifanye namna kukomesha hilo.
 
Mkuu Countrywide salam kwako.
Kwani Mh. Tarimba "amesema" kanukuu madai yake toka report ya "mamlaka" gani? Mkuu COUNTRY naomba usome tena maswali yangu chokonozi. Naomba mkuu Countrywide nikusalimu tena.

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…