Tarehe ya maandamano ya Tanzania nzima

mei mosi nadhan ndio muafaka kwani siku hiyo watu wote wako nyumbani hakuna eti ooh mimi naenda job wala nini, success yake ndio itayafanya yaendelee mpaka kesho yake na continuation itaanzia hapo mpaka kieleweke, pili sababu nyingine ni ili kupata mda wa kuhamasisha watu wengi zaidi na tatu organisation iwe safi!
mwisho kabisa inakua ni baada ya kuwapa ultmatum serikali kurekebisha yafuatayo iwe justification wakishindwa
1. mfumuko wa bei usimame na urudi chini ili buku iwe na dhamani
2. kushuka kwa bei za vyakula
3. kima cha chini cha mishahara kupanda
4. pay as you earn ''payee" ipungue
5. sera mpya ktk matumizi ya mali asili ikiwemo madini
6. katiba mpya
7. malimbikizo ya madeni serikali ilipe kwa walimu, wastaafu nk
8. mikataba yote mibovu isitishwe na wahusika wa kutufikisha hapo tulipo waburuzwe kortini na haki ionekane imetendeka sio sheria kutafsiriwa tu kama dhihaka tuliyofanyiwa kwa liyumba
9. sera ya cost sharing iwe reviewed hasa ktk elimu kuanzia msingi hadi ya juu, mahospitali
 
Mkuu! Nimekuunga mkono barabara ya Mei Mosi ingependezea sana.
 
Back
Top Bottom