Tarehe moja April: Jihadharini na 'siku ya wajinga'

Tarehe moja April: Jihadharini na 'siku ya wajinga'

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
Leo ni tarehe moja April.
Ni maarufu kama siku ya wajinga aka 'fools day'

Ni siku ambazo huwa sipendi kusoma habari za magazeti wala kusoma threads mbali mbali zinazoanzishwa humu JF.

Wabongo tumekuwa tunaitumia vibaya sana hii siku.

Wenyewe walioanzisha huko 'Ulaya' huwa wanaiadhimisha hadi (mwisho ni) saa sita mchana ya siku hii hii ya tarehe moja. lakini sisi wabongo tunaextend hadi baada ya saa6 mchana tunahadhimisha tuu.

nadhani sababu ni ile ile 'ulimbukeni' wa kuvamia vamia mambo na kuyakuza.

Nawatahadharisha wana JF kuhusu sms mtakzopokea leo, emails, vichwa vya habari vya magazeti mbali mbali na hata threads mtakazozisoma humu. Don't take them seriously.
 
Ni tarehe 1 Aprili. Umerudi home ghafla unamkuta rafiki yako yuko na mpenzi wako kitandani wamekumbatiana wako uchi, walipokuona mpenzi wako anakuambia "honey leo ni siku kuu ya wajinga duniani, tulikuwa tunakutania tu, ili tuone utafanya nn? "Je utafanya nini na ukiangalia ni kweli siku hiyo ni sikukuu ya wajinga.? nijibu
 
Unamtenganisha kichwa na kiwiliwili huyo mwanaume then unamwambia mkeo 'honey nimemtania tuu nione atafanyaje'
 
Ni tarehe 1 Aprili. Umerudi home ghafla unamkuta rafiki yako yuko na mpenzi wako kitandani wamekumbatiana wako uchi, walipokuona mpenzi wako anakuambia "honey leo ni siku kuu ya wajinga duniani, tulikuwa tunakutania tu, ili tuone utafanya nn? "Je utafanya nini na ukiangalia ni kweli siku hiyo ni sikukuu ya wajinga.? nijibu

Na mie nitachojoa nguo napanda kitandani tusherehekee pamoja
 
Kamefika..

●Utapokea msg za uongo
●Utasoma habari za uongo magazetini..zilizokanushwa chini au next pg
●Radio nazo...
●Wale watani unaweza kukopesha deni hewa

Yaan utani huu haujalishi wakristu wala waislam wote huchuma haka kadhambi

Stay tuned....!
 
Sikukuu ya wajinga kwa lugha ya wenzetu wanaiita April fools, ningependa mwenye kujua chanzo cha hii ilitokea vipi mpka ikawekewa kabisa na siku rasmi(1,april).
 
Kuna aya ndani ya Biblia inaandikwa na kusomeka hivi M.puma.vu amesema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu. Kumbe wapumbavu wote ni wale wanaodai kuwa hakuna Mungu. Biblia hiyo hiyo inamweleza m.pumba.vu hivi.
m.pumba.vu ni mtu ambaye amepita hatua ya ujinga, ina maana alikuwa hajui kitu, akaelezwa kuhusu kitu hicho, lakini bado hakitekelezi.
Wanadamu wote tunapotoka tumboni mwa mama zetu tunakuwa wajinga juu ya Mungu, ni hadi tunapoelezwa na waliotangulia kuona dunia hii wanapotueleza kuhusu uwepo wa Mungu ndipo tunamtambua Mungu. Ndio maana sasa wapumbavu licha ya kuelezwa kuwepo kwa Mungu, wanaandika mawazo yao yanayoeleza kuhusu kukataa uwepo wa Mungu, ambapo baada ya kuandika mawazo yao, watu kama Kiranga wasioamini uwepo wa Mungu wanayatumia katika argument zao. Kumbuka hayo yalikuwa ni mawazo yaliyopatikana toka mawazoni mwao, na wakayaandika na wapumbavu wengine kuyatumia.
Na wakaamua kutenga siku yao rasmi ya tarehe 1 mwezi wa nne kila mwaka kuhalalisha upumbavu wao.
NAWASILISHA.
 
Last edited by a moderator:
April 1 is named FOOL'S DAY, after Steve April. He was born on 1st April 1579. He did 105 businesses in his lifetime. He lost all his father's assets, and so everyone started calling him father of the fools.

At 19, he married a 61-year-old woman who divorced him after a year because of his foolishness. He used to read all kinds of fake stories like you are doing now.

It's great idea fooling you ...Happy April Fool!
 
Kwa anaejua historia ya hii siku ya wajinga duniani 1 april atujuze
 
April fools day nimepatikana sana leo...yani nimedanganya na watu watatu,nimekuja kushtuka baada ya kuingia jf....kweli kabisa jamii forum ni zaid ya uijuavyo.
 
Kuna aya ndani ya Biblia inaandikwa na kusomeka hivi M.puma.vu amesema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu. Kumbe wapumbavu wote ni wale wanaodai kuwa hakuna Mungu. Biblia hiyo hiyo inamweleza m.pumba.vu hivi.
m.pumba.vu ni mtu ambaye amepita hatua ya ujinga, ina maana alikuwa hajui kitu, akaelezwa kuhusu kitu hicho, lakini bado hakitekelezi.
Wanadamu wote tunapotoka tumboni mwa mama zetu tunakuwa wajinga juu ya Mungu, ni hadi tunapoelezwa na waliotangulia kuona dunia hii wanapotueleza kuhusu uwepo wa Mungu ndipo tunamtambua Mungu. Ndio maana sasa wapumbavu licha ya kuelezwa kuwepo kwa Mungu, wanaandika mawazo yao yanayoeleza kuhusu kukataa uwepo wa Mungu, ambapo baada ya kuandika mawazo yao, watu kama Kiranga wasioamini uwepo wa Mungu wanayatumia katika argument zao. Kumbuka hayo yalikuwa ni mawazo yaliyopatikana toka mawazoni mwao, na wakayaandika na wapumbavu wengine kuyatumia.
Na wakaamua kutenga siku yao rasmi ya tarehe 1 mwezi wa nne kila mwaka kuhalalisha upumbavu wao.
NAWASILISHA.

Hata mimi ningekuwa naandika kitabu leo cha kuwashikia akili watu wa ulimwengu mzima, watu ambao wanaogopa kuitwa wapumbavu kuliko kuwa wapumbavu, halafu ningetaka kuwaaminisha kwamba kuna mungu ambaye hayupo, ningenunua "insurance policy" ya kuandika kwamba "-------- amesema hakuna mungu".

Najua kwamba watu wanaogopa kuitwa wapumbavu kuliko kuwa wapumbavu.

Na nikisema by fiat kwamba "-------- amesema hakuna mungu" watu wataogopa kusema hakuna mungu, kwa sababu wataogopa kuitwa wapumbavu.

Na hawatafanya research ambayo inaweza kuwapeleka kwenye kugundua ukweli.

Kati ya mtu anayetafuta ukweli kwa maswali yaliyojikita kwenye logic, na anayeogopa kuuliza maswali magumu kwa kuogopa kukufuru na kuitwa --------, nani ni -------- wa kweli hapa?
 
Nimtumia bosi wangu notice ya kuacha kazi kwa email,nimemkamataje........!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom