Tarehe Gani uandikwa kwenye Msalaba wa Marehem?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
BAADA ya kuja na uzi unaoendelea kujadiliwa kwa kasi, dhidi ya tarehe ya kifo cha binadamu, kupitia michango ya wajf mbalimbali nimeona sasa kuna umuhimu wakujuzana ili, kupitia kwenye michango ya kujena,
Je binadamu anapokufa na kuzikwa kabla hajazikwa huwa kwenye msalaba wake tunaandika tarehe aliyokufa au tunaandika tarehe ambayo tunamzika?
karibuni tujadili ili wadau lengo likiwa ni kujengana kifikira lakini pia lengo ni kutaka kuweka ule uzi sawa!

kama uelewi lolote potezea hacha wenye kujua watwanbie ukweli ili utuweke huru.!
 
Mkuu umeshindwa hata kupita kwenye kaburi moja uone wameandikaje!!?
 
aliyokufa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom