Tarehe 8/9/2025 siku ya ukombozi wa Tanganyika Huru

Joined
Jul 30, 2025
Posts
97
Reaction score
324
Ndugu zangu watanzania,

Tarehe 8/9/2025 ndo WATANGANYIKA tunaanza harakati za ukombozi huru wa taifa letu. Kama wewe kijana mpenda nchi yako tukutane mahakamani siku hiyo kwenda kumpa sapoti na kumpigania shujaa wetu,

Ni siku muhimu sana kwetu kwenda kuiandika historia mpya ya kumuunga mkono shujaa na kuijaza mahakama na kuijuza Dunia kua sie tupo upande upi na tuna msapoti kiongozi yupi

Tuweke utofauti wa vyama pembeni tupambanie taifa kwanza mana wakati ndo huu wakuonyesha Dunia kuwa tunahitaji mabadiliko ya kweli na si hadithi za mabadiliko

Mungu mbaliki TUNDULISU mungu ibaliki CHADEMA mungu ibaliki TANZANIA mungu ibaliki TANGANYIKA
 
Nini kimemkuta Chawa
 
Wewe ni Lucy Mshamba.
 
Wewe kijana!!! 🤔🤔
 
Back
Top Bottom