Tarehe 6 January 2020 natazamia kutuma Radio Signals katika sayari ya Vesta

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Habari,

Katika maisha yapo mengi kiasi mengine hatuyafahamu. Inafika hatua watu umaliza ungwe ya dunia wakiwa na asilimia nne '4' kwa wanayo yafahamu.

Nikiwa katika Mwongo (Decade) ya pili ya maisha yangu niliyojitoa kwa ajiri ya mambo chanya na furaha kwa wengine natazamia mengi moja wapo ni hili.

Siku ya Jumatatu tarehe 6 January 2020 nategemea kutuma Radio Signals katika sayari za Vesta, Sedna na Pulsar. Radio Signals hizo nategemea zitajibiwa kati ya April na September 2022 endapo kutokuwepo viumbe hai.

Natazamia kupokea mrejesho endapo kweli viumbe hai wenye utambuzi watakuwepo katika mataifa hayo ambayo nimeyafanyia tafiti akinifu huku nikihusisha mwanga kutoka ISS, NASA na EUSA.

Kufikia sasa tayari ninayo picha mgando ya Planet Vesta na muongozo katika baadhi ya masuala yanayoihusu sayari hii. Sedna na Pulsar sina hakika lakini nimepatiwa muongozo kutoka kwa Calvin Ravel kijana ninayeshirikiana naye katika baadhi ya mambo akiwa Australia na New Zealand.

Uchunguzi wa awali unaonyesha Planet Vesta inayo horizon yenye kuonekana kama Dark Tan na Brown huku kukiwa na mabonde na milima. Angani kwa ukaribu kunaonekana sayari tatu clearly lakini siyo hizi zinazofahamika kwa undani. Kunaonekana jua likiwa katikati ya miduara hiyo lakini sina hakika kama ni jua hili pia upo uwezekano wa kuwepo viumbe hai na hali ya kuwezesha uhai.

Kikubwa natamani siku moja nishuhudie mvua ya vumbi na vipande vya vioo (Glass) Kama uchunguzi wa awali unavyoonesha.

Tarehe sita panapo majaliwa nitakuja hapa na baadhi ya vidhibiti katika hatua za kutuma Radio Signals. Process nzima itafanyika Tanzania.

Hili na mengine yote ninayoyafanya ni juhudi zangu binafsi hamna mwekezaji au support yoyote, kuanzia tafiti, mikakati na vifaa.

"This space we declare to be infinite in it are an infinity of worlds of the same kind as our own." - Giordano Bruno

#VestaExplore #6JanRadioSignals #SergiExVesta

Lot's of ❤
- Sérgi
 
redio gani hii ya mshana jr ....tunayo simuliwa kuwasiliana na majini mpaka kuzimu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna sayari iliyogunduliwa katika range ya 1-2 light years kama unavyotuelezea.

The next star system is Proxima Centauri which is 4.244 light years away. Alpha Centauri, is 4.367 light years away.

Umegundua star system mpya?

If you are talking about Vesta in the asteroid belt, radio signals from earth would take seconds, not years, to get there.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo unyotaka kufanya mwaka 1968 kuliwahi kutumwa chombo na taifa la rusia mpaka leo hii hakijawahi kurudi na wakatuma kingine cha kwenda kutafuta mwenzie nacho kimenasia huko huko ule utafiti wao wakaupotezea hadi sasa wameachana nao
 
Usisahau kuwajulisha sisihemu,maana bila wao kukuletea vifaa na mtaji usingefika unapoota!!!
 
Mvua ya vumbi na vioo, ili iweje
Habari,

Katika maisha yapo mengi kiasi mengine hatuyafahamu. Inafika hatua watu umaliza ungwe ya dunia wakiwa na asilimia nne '4' kwa wanayo yafahamu.

Nikiwa katika mwongo (Decade) ya pili ya maisha yangu niliyojitoa kwa ajiri ya mambo chanya na furaha kwa wengine natazamia mengi moja wapo ni hili.

Siku ya Jumatatu tarehe 6 January 2020 nategemea kutuma Radio Signals katika sayari za Vesta, Sedna na Pulsar. Radio Signals hizo nategemea zitajibiwa kati ya April na September 2022 endapo kutokuwepo viumbe hai.

Natazamia kupokea mrejesho endapo kweli viumbe hai wenye utambuzi watakuwepo katika mataifa hayo ambayo nimeyafanyia tafiti akinifu huku nikihusisha mwanga kutoka ISS, NASA na EUSA.

Kufikia sasa tayari ninayo picha mgando ya Planet Vesta na muongozo katika baadhi ya masuala yanayoihusu sayari hii. Sedna na Pulsar sina hakika lakini nimepatiwa muongozo kutoka kwa Calvin Ravel kijana ninayeshirikiana naye katika baadhi ya mambo akiwa Australia na New Zealand.

Uchunguzi wa awali unaonyesha Planet Vesta inayo horizon yenye kuonekana kama Dark Tan na Brown huku kukiwa na mabonde na milima. Angani kwa ukaribu kunaonekana sayari tatu clearly lakini siyo hizi zinazofahamika kwa undani. Kunaonekana jua likiwa katikati ya miduara hiyo lakini sina hakika kama ni jua hili pia upo uwezekano wa kuwepo viumbe hai na hali ya kuwezesha uhai.

Kikubwa natamani siku moja nishuhudie mvua ya vumbi na vipande vya vioo (Glass) Kama uchunguzi wa awali unavyoonesha.

Tarehe sita panapo majaliwa nitakuja hapa na baadhi ya vidhibiti katika hatua za kutuma Radio Signals. Process nzima itafanyika Tanzania.

Hili na mengine yote ninayoyafanya ni juhudi zangu binafsi hamna mwekezaji au support yoyote, kuanzia tafiti, mikakati na vifaa.

"This space we declare to be infinite in it are an infinity of worlds of the same kind as our own." - Giordano Bruno

#VestaExplore #6JanRadioSignals #SergiExVesta

Lot's of
- Sérgi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom