Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 3,668
- 3,957
Ofcoz kutoboa kwa Kgb ilikuwa ni ngumu na na ni kwasababu upande wa pili walijisuka vizuri sana kukabiliana nao. Ingawa hatujajua alitoroka vipi but hope ni kwa kurefer ule mpango uliosukwa wa PMLICO.Sio udhaifu ni vile hawakufikiria possible options kuwa what if huyu atatoroka na kumbuka huo usaliti wa Oleg ni kama kuishi mume na mke unayemwamini sana ukute ndio anakuuza so kutoboa hapo ni ngumu mno