Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,723
Ikiwa imepita mwaka mmoja sasa tangu nipate na ajali ambayo bila neema na kudra za mwenyezi Mungu nisingekuwa katika sayari hii.
Hii siku imeingia katika historia yangu kwakuwa ilikuwa mara yangu ya kwanza kupata mkasa wa namna ile na nitaendelea kuikumbuka milele.
Napenda kuwashukuru wanaJF wote waliokuwa nami wakati wote,walionipa pole na wale wote ambao hawakufanya hivyo.
Naamini JF ni familia moja japo wengi wetu hatujuani.
Nawatakia Jumapili njema wapendwa.
Chachu Ombara