tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,072
- 16,624
Wakuu,kwema?
Naomba kutolewa tongotongo kidogo,hivi nikitaka kumvika my gal pete ya uchumba ni lazima nifanye kijisherehe kidogo nialike na watu wachache kuja kushuhudia au naweza tu kumuita mahali patulivu tukiwa wawili then nikapiga goti mbele yake nikamvalisha hiyo pete?
Asanteni