Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,876
- 29,057
Mveshe kwa kutumia skype
niko matako bar nakungoja mkuuVipi upo mianzi..sanawari..sakina au ngalimii?
Tusituane tumfurahishe mtoto nakula bia hapa masomething Bar.
Huyo unaetaka kumvisha Pete ni yule yule uliemnyoa nywele au mwingine??Wakuu,kwema?
Naomba kutolewa tongotongo kidogo,hivi nikitaka kumvika my gal pete ya uchumba ni lazima nifanye kijisherehe kidogo nialike na watu wachache kuja kushuhudia au naweza tu kumuita mahali patulivu tukiwa wawili then nikapiga goti mbele yake nikamvalisha hiyo pete?
Asanteni
Ni lazimaWakuu,kwema?