Hello Nakodari,Wakuu Salam kwenu.
Naomba kujua namna ninaweza kufika Lusaka Zambia.
Nauli hadi kufika, gharama za maisha na mambo mengine muhimu.
Pass imeexpire so nitahitaji emergency travelling documents, je ninaweza kuzipata pale uhamiaji mpakani?
Na kuhusu visa, je inahitajika au ni visa free? Na kama inahitajika je wanaitoa pale mpakani au lazima niiombe kabla kwenye ubalozi wao?
Nitashukuru kama mtanisaidia maana safari ni muda wowote kuanzia sasa.
Asante sana.Hello Nakodari,
Zambia ni nchi ambayo huitaji visa kuingia kwa raia wa Tanzania. Utagongewa entry permit pale mpakani ambapo unaweza pewa hadi 90 days.
Kuhusu passport ni vyema ukaomba katika ofisi za uhamiaji zilizopo karibu nawe na haichukui muda kuipata.
Kila la kheri.
Ile ya karatasi si elf 10?Asante sana.
Ngoja nianze mchakatoo sema tu kale ka laki naaa ka pass mpya kanatoa watu jashoo
Asante sana.
Ngoja nianze mchakatoo sema tu kale ka laki naaa ka pass mpya kanatoa watu jashoo
Kuna ile pass ndogo ambayo kama una 50 elfu ya chapchap kishoka anakuletea hadi Nyumbani.Asante sana.
Ngoja nianze mchakatoo sema tu kale ka laki naaa ka pass mpya kanatoa watu jashoo
Ya karatasi sasa hivi ni 40 na gari zinaoenda huko moja kwa moja ni falcon ndo gari mafuta nauli ni 160000 mpaka lusaka inter cityUnaenda na ile 10 au 15 elfu
Sasa si uchukue pass tu? Ni ndani ya siku moja unayo mkononi.Wakuu Salam kwenu.
Naomba kujua namna ninaweza kufika Lusaka Zambia.
Nauli hadi kufika, gharama za maisha na mambo mengine muhimu.
Pass imeexpire so nitahitaji emergency travelling documents, je ninaweza kuzipata pale uhamiaji mpakani?
Na kuhusu visa, je inahitajika au ni visa free? Na kama inahitajika je wanaitoa pale mpakani au lazima niiombe kabla kwenye ubalozi wao?
Nitashukuru kama mtanisaidia maana safari ni muda wowote kuanzia sasa.
Sasa unayaendea matatizo ili iwe nini? Yaani unaingia gharama kuyafwata matatizo?Siendi kula bata naenda kwa matatizo
Kuna ile pass ndogo ambayo kama una 50 elfu ya chapchap kishoka anakuletea hadi Nyumbani.
Mambo yamezidi kurahisishwa na Serikali yetu sikivu ya Bi Samia.
aisee niunganishe na kishoka ndugu nataka nende kenya kidogoKuna ile pass ndogo ambayo kama una 50 elfu ya chapchap kishoka anakuletea hadi Nyumbani.
Mambo yamezidi kurahisishwa na Serikali yetu sikivu ya Bi Samia.
Nitakutumia namba pmaisee niunganishe na kishoka ndugu nataka nende kenya kidogo