Au unaweza ukatoa notice ya saa 24 na utalazimikaUnatakiwa umuandikie boss wako notisi ya siku 30 (nadhani ungesoma hii kwenye barua yako ya kuajiriwa?). Utaendelea kufanya kazi na atakujibu kukukubalia. Baada ya miezi 6 utaenda pspf na kuomba mafao yako. Utapewa process zikikamilika
samahani wakuu mm ni mwl nimetumikia serikali kwa miaka 8 nataka niache kazi. je naweza kulipwa mafao.
Unaacha kazi utakula nini mwalimu?
Mkuu hata pspf ck hz wana fao la kujitoa cha muhimu awe na barua ya kuacha kaz aliyoandika yy,aliyojibiwa na mwajir wake,salary slip miez 3 kabla hajaacha kaz,barua yake ya ajira na pia barua aliyoandikiwa na mwajir wake kuomba kurejeshewa michango yake.pspf hawana fao la kujitoa, huwezi lipwa. labda kama upo mfuko mwingine.
Ongera kwa kujiokoa mapema kufa maskini. wadau, hivi nssf mpunga unaupata mada gani baada ya kuacha kazi na hasa baada ya kufungua madai?
Ni kweli.Inanikera sana hiipspf hawana fao la kujitoa, huwezi lipwa. labda kama upo mfuko mwingine.
Uko pspf mkuu?Nilienda ofisi zao za Iringa kuomba kipeperushi chao chenye list ya mafao na sikuoina hiyo.Mkuu hata pspf ck hz wana fao la kujitoa cha muhimu awe na barua ya kuacha kaz aliyoandika yy,aliyojibiwa na mwajir wake,salary slip miez 3 kabla hajaacha kaz,barua yake ya ajira na pia barua aliyoandikiwa na mwajir wake kuomba kurejeshewa michango yake.