Tatzo hi kada ni ya kimaskini zaidi fikiri miaka 8 bado basic 378elf take hme 200elf siyo umaskini huo.
Ukichanganya na makato ya mkopo wa baypot ni hatari..
Mfano wa hiyo notice tafadhali wadauUnatakiwa umuandikie boss wako notisi ya siku 30 (nadhani ungesoma hii kwenye barua yako ya kuajiriwa?). Utaendelea kufanya kazi na atakujibu kukukubalia. Baada ya miezi 6 utaenda pspf na kuomba mafao yako. Utapewa process zikikamilika