Taratibu za jamvi: Naomba mwongozo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taratibu za jamvi: Naomba mwongozo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Taso, Mar 23, 2011.

 1. T

  Taso JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Kwa mujibu wa taratibu zetu hapa, hivi thread huwa inafikia mwisho ambapo inafungwa? Hiyo rule inasemaje? Kama hakuna rule kama hiyo basi tujifunze kuvumilia freedom of political speech.

  Kwa mfano, mada ya "Kamati ya Zitto yamshambulia Mzee Mwanakijiji" imefungwa. Mada ambayo bado ilikuwa active, na wachangiaji hatujajulishwa tumevunja sheria yoyote, na yaliyokuwa yakizungumziwa ni ya msingi, kwa nini ifungwe?

  Tulikuwa tunahojiana kuhusu michango yetu kwa maendeleo ya nchi hii, waandishi wa jamvi hili JF na wa makala waliopo ndani na nje, kama kina Mwanakijiji.

  Now, what was wrong with that topic? Why muzzle such speech?

  Mbona hamfungii mada za "Msaada Kuacha Tigo" na "Ni Lazima Kwenda Chumvini"?
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Huwezi jua kaka mkubwa, labda Zitto kaona kuna udhia akapenyeza rupia.... Oooh no, hivi nimesema rushwa? Ila ungejaribu kuwasiliana na mods kwa PM wakujuze kwanini wamefikia uamuzi huo... Usisahau kuleta fidbak hapahapa kwenye uzi.
   
Loading...