Live circuit
Senior Member
- Mar 11, 2023
- 124
- 366
Habarini Wana jamvi,
Polen kwa wale wagonjwa naandika Uzi huu naelewa nn maana ya ugonjwa nipo apa muhimbili (moi) nauguza Ila nimeamini ukiwa mzima wa afya basi usiache kumshukuru Mungu, nazidi kuwapa pole wale wenye shida na matatizo mbali mbali naamin Mungu atawasaidia,
Back to my topic
Samahani wadau wa Jf, mwezi ujao itakua ni mara yangu ya kwanza kupanda ndege , na naanza za mikoani ,
Naomba kujua taratibu zozote ambazo wewe mwana Jf ulikua huzijui na ukazijua mara ulivopanda ndege,
Naomba kupata uzoefu wowote ule ulio nao au ulio upata
Nb: ntatoka dar es salaam kwenda mtwara