Taqwa Bus kutoka Dsm to Bujumbura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taqwa Bus kutoka Dsm to Bujumbura

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Oct 25, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  Msije panda gari hili. Ni bovu sana, toka saa 12 alfajiri sasa ndio tunaingia Dodoma.
  Limejaza sana mizigo ndani, korido haipitiki.
  Polisi wanaliona na tumeongea, lakini hamna hatua walizochukuliwa wahudumu wa basi hili.
  Polisi wamesema tuendelee na safari, dereva atalipia makosa yake akiwa anatoka Bujumbura.
   
 2. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,986
  Likes Received: 1,043
  Trophy Points: 280
  Hiyo itakuwa ni kama mtabahatika kufika salama. Ama Kweli hiki ni kichekesho!!
   
 3. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah poleni sana
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Shukuru Mungu mwenzangu umefika salama mengine wachie wenyewe hawa somi hao madereva wala police juu ya ajali zinazotokea.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  angalieni asiwarestishe in peace.
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,801
  Likes Received: 2,572
  Trophy Points: 280
  Poleni sana. Siku nyengine safiri kwa Kampala Coach,Huduma safi na Mabasi ya uhakika Naamini basi lao Dar to Kampala lina connect to Bujumbura.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  gari lenyewe ni namba T323BGC na sasa limeharibika tena huku maporini
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni kupenda bei cheee ndo unafika mguu umevunjika au jicho hakuna! Serikali nayo badala ya kuimarisha usafiri wa reli ndo kwanza wanapambana na kuwasha umeme!! Tungekuwa na akina Sata East Africa, train za umeme zingetembea ndani ya miaka 10 - 15 ijayo kuunganisha nchi zote! Lakini kwa sababu ya mafisadi kumiliki uchumi tusahau!.

  Just Imagine kitu kama hiki 28.jpg kitoke Dar - Bujumbura - Kigali - Kampala - Nairobi and then back to Dar ya masaa 12!! what the beautiful economic will be. Kila muafrica mashariki ataishi kwa raha.
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  36.jpg Vitu vingine hivyo hapo!! Hapo kusafiri kwenda mikoani unakuwa salama na shwari!! Haya mabasi yanatakiwa yabaki ndani ya jiji kama daladala na mengine yawe ya kupeleka watalii kwenye vivutio vyetu kukuza uchumi.
   
 10. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Pole mkuu, Mungu awatangulie mfike salama.
   
 11. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pole usafiri ni mgumu wa kwenda uko....kwa hiyo ndio maana wanajaza sana mizigo
   
 12. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  poleni sana twawaombea mfike salama. Leo JF zimeripotiwa ajali nyingi sana za magari
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Siku nyingine panda ndege acha ubahili bana
   
 14. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,801
  Likes Received: 2,572
  Trophy Points: 280
  Mafisadi hawana hiyo vision ya 12 hour trip across EA and back to Dar. Vision yao not beyond national coffers and how to steal from the same. Fine suits,beneath ticks the heart of a thief. Hovyo hovyo.
   
 15. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  polisi wa tz wala rushwa sana, kinachotakiwa ni kuwapiga picha na kuwaanika hapa jamvin, huku UG hata daladala hazirusiwi kusimamisha abiria ila bongo ni balaa,
   
 16. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kwelii hili basi nimeishalipanda zaidi ya mara 2,suburini mtapumua mkifika Kahama
   
 17. G

  Gwaks makono Senior Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ucpende haraka jamaa wanatembea taratibu coz wanajua ni lazima walale kahama ndo mana hawana haraka!!
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  poleni sana.nawatakia safari njema.mkifika pale benaco ngara msalimieni mwenyekiti wa chadema bwana luchwele.mia
   
 19. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,064
  Trophy Points: 280
  Nimewahi kulipanda tokea Nzega-dar nilichoka make ilikuwa jioni saa12 na usafiri taabu njiani na nawahi kazini,nilisimama tokea Nzega-Mor.Limepakia wanyaru na wana roho mbaya kinyama,hapendi hata umsogolee na ukijitikisa tu wanakutusi kwenye kinyaru,sitakuja kulipanda tena basi kama daladala...nilibahatika kufika dar saa6 ksho yake niko hoi taabani
   
 20. V

  Vonix JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mungu awasaidie mfike salama leo barabarani hakuko salama.
   
Loading...