jaman mimi nilikutana na huyu
mtu Habari, naitwa Judy From Polythm Software Dar. Nipo kikaoni
tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for I.T Personel, I Like your
Cv na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo, Mshahara ni 1.5
Million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa Sh. Laki 3 for
helping you, If you agree do the following, By saa 11 Jioni uwe Umetuma
Scaned Copy Ya vyeti Vyako to
trevonbon@gmail.com
Na Sh. Elfu 30 by M-pesa Namba 0759923566 ili nimpe mtu wa interview
anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Hr Manager Nshampa Elfu 50
Kashakubali, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for
Interview.