Tapeli Mkenya Abdul Juma ndie alipelekea Hushpuppi kukamatwa

Halafu naskia hawa Eastern Europeans hasa Lithuanian na Latvians wengi sana Uingereza wana watapeli sana pensioners kwenye ma ATMs
Wa Romania nomaaa
Hao ndy wanasumbua sana huko

Babu chimbo letu la christiana bado lipo
😂😂😂😂

Ova
 
Halafu naskia hawa Eastern Europeans hasa Lithuanian na Latvians wengi sana Uingereza wana watapeli sana pensioners kwenye ma ATMs

Ni kweli
Nakumbuka wakati wameruhusiwa kuingia bila visa waliiba sana mpaka mchana kabisa walikuwa wanakuja na pikipiki wanavunja vioo na kuiba dhahabu central London

Hawa jamaa hawana aibu mimi niko london
Mambo waliyofanya kuna wazungu wanasema bora weusi sio washenzi kama hawa

Walikuwa wanaiba mpaka vifuniko vya maji ambavyo viko barabarani
Nafikiri mnazijua
Wanakuja na Van ambayo wameitoboa wakisimama tu wanabeba wanauza chuma chakavu

Waliiba mpaka zile cable nene za railways hawa jamaa ni zaidi ya gypsies
Wameiba magari sana kama bmw na Benz
 
Sana...ukiwa na pesa inabidi ukaze
Kweli uwe low key
Haya mamitandao pia yanawamaliza sana
Watu,sasa wee una post life style yako sjui magari,nyumba,uko na totoz kazi yko yenyewe
Mpigaji..sasa hapo si unajitengenezea bomu

Huyo jamaa kudakwa halali yake kabisa

Ova
Back 90 kama utakumbuka pana mzee mmoja alikuwa mpigaji anatembelea jeep alikuwa anapiga suti nyeupe alipenda kutembea na bakora akiwa na mademu wawili au watatu wakali sana alikuwa na mbwembwe kwa kwenda mbele
 
Hawa jamaa ni smart sana aisee hata kama ni wezi. Hivi Bongo hatuna wajanja kama hawa? Kesho leta muendelezo mkuu
Wamo wengi tu wadanganyi-ass. Deli yao kumbwa ni kuwa punda wa kusafirisha madwa yakulevya.
Kwani hukumsikiya magufuli akiyasema??
Hapa kenya prison tuna punda mtu karibia mia na wana hesabu kalenda miyaka kumi na miine minimum.
Chakushangaza zaidi jagii mkuu anayesikiliza kasi zote kuhusu madawa ya kulevya ni albino.
Mta tia akili zezetas!!!!!!
 
Huyu jamaa ana akili sana, sema hakuwa na akili timamu za kuzungusha pesa zake. Blood fool. Afu angeachana kabisa na mamitandao. Kenge kabisa
 
Huyu jamaa ana akili sana, sema hakuwa na akili timamu za kuzungusha pesa zake. Blood fool. Afu angeachana kabisa na mamitandao. Kenge kabisa

Tizama kilipu youtube hausppapi akiimba[ I have found jesus]

Mashtakawa na hatiya athabu yake calenda miaka ishirini (20 years)

Minimum atakula calender takriban miaka kumi au kumi na mitano.

Good conduct na masharti katha wa katha.

Akimaliza kifugo atapingwa mbomba hadi nigeria.

Akifika nigeria lazima ale calender miaka miwili jela.

Sasa basi, jela za kinigeria usiseme ngo.
 
Uchizi na ushamba flan wa mshiko umepoteza wengI yaanI unakuwa na wenge flan wa kutaka watu wajue una pochi
Eeh hela ikiwa nyingi lazma upagawe mkuu yani hapakaliki😅 hela huwa inawasha mda wote tena ukiwa limbukeni ni hatari zaidi!

Bora ufanye mambo yako nje ya mtandao tu😂 sema still wanaokuzunguka watakupa jina la Fogo na machawa kukubrand kwamba wewe ni Papa Don Mwamba!
 
Hela huwa haiwezi kukaa kimyaa mkuu itaropokaaa tu
Hela na kiu ya umaarufu huwa vinawamaliza wahuni mapema sana! Idriss alipopokea ile 500G tu alipagawa mno!

Akanunua ghorofa na verossa chap chap na kutafta malaya wa kula nae hela it was Wema sepetu by that time nani hakumjua Idriss huko kwenye ma bar😅 na club?

Akawatosa wachuga wenzie waliokuwa wanamuombea blessing atusue akawa mdaslam ghafla😂
 
Wapo watu hawasumbuliwi na mihemuko ya pesa ila ni wachache sana duniani
Hela ya vyanzo halali huwezi kupagawa nayo kama ile ambayo inakuja ghafla bin Vuup! Mfano ukute umeshinda mkeka wa 1.5B ghafla toka sportpesa ukalipwa hela yako.

Unaweza ukajikuta hata umeenda kupanga apartment masaki ya dollar 1000 kila mwezi na kulimit bata zako ziwe kanda ya kinondoni tu😅 huku ukiwa na wapambe kama Diamond vile!

Hela inatia uchizi sana😅
 
Hela ya vyanzo halali huwezi kupagawa nayo kama ile ambayo inakuja ghafla bin Vuup! Mfano ukute umeshinda mkeka wa 1.5B ghafla toka sportpesa ukalipwa hela yako.

Unaweza ukajikuta hata umeenda kupanga apartment masaki ya dollar 1000 kila mwezi na kulimit bata zako ziwe kanda ya kinondoni tu huku ukiwa na wapambe kama Diamond vile!

Hela inatia uchizi sana

Lakini pesa ambayo umetumia akili kuitafuta kwanza haiwezi kukupa kiwewe na haipotei hovyo ndio maana Dangote aliwahi kusema watu wengi wanapata mitaji duniani lakini kwakua pesa zile zimepatikana bila formular huishia kuwaaibisha wao wenyewe. Na pesa nzuri akasema ni ile unayoanza kuiplan taratibu hadi inaongezeka kamwe haiwezi ikaisha wala kukusumbua
 
Lakini pesa ambayo umetumia akili kuitafuta kwanza haiwezi kukupa kiwewe na haipotei hovyo ndio maana Dangote aliwahi kusema watu wengi wanapata mitaji duniani lakini kwakua pesa zile zimepatikana bila formular huishia kuwaaibisha wao wenyewe. Na pesa nzuri akasema ni ile unayoanza kuiplan taratibu hadi inaongezeka kamwe haiwezi ikaisha wala kukusumbua
Naunga mkono hoja mkuu😅
 
Naunga mkono hoja mkuu😅
Vingine hivi hapa vitapeli vya Nigeria nipo navyo kwenye group najaribu kuisoma mifumo yao wanayotumia kutapelia watu na hizi ndo mesej zao wanazochat.....
[12/12, 5:20 pm] +234 906 363 3154: DO YOU WANT YOUR CLIENT TO DO ANYTHING YOU WANT AND TRUST YOU?

Holla for your better document from better editor Chinese please don’t text me

DM FOR YOUR

💳ANY STATE ID CARD FRONT AND BACK

✈️ FLIGHT TICKET

📝 PAPER HOLDING

🏥 HOSPITAL PICTURE WITH RECEIPT AND DOCTORS REPORT

📊UTILITY BILL EITHER GAS, ELECTRICITY AND OTHERS

🏡 INHERITANCE DOCUMENTS THE WHOLE 4 PAGES

💳SSN CARD OF YOUR WORKING NAME SO THEY CAN SEND THEIR OWN

👯‍♀️NUDE ….. WVEN IF HE OR SHE HAS TATTOOS

ANY KIND OF CERTIFICATE

AND MANY MORE DOCUMENTS



Please if you want to add my number for views I would not reply you

God bless
[14/12, 9:26 pm] +55 11 98665-1630: I need a legit hacker to provide me debit card to load coinbase...have a few here nd we share


I need a legit hacker to provide me debit card to load coinbase...have a few here nd we share
[14/12, 9:35 pm] +234 907 264 0599: Instagram ✅

Facebook ✅

Pof ✅

Google voice numbers ✅

VPN ✅

all available ✅

Serious buyer should DM🔥🔥🔥

Am buying all type of gift cards and if you have over scratching Gift card DM but the rate will low🙏🔥❤️✅
[14/12, 10:10 pm] +234 814 236 0329: HUSTLERS CASHOUT ONLINE UPDATE

💯DOWNLOAD TELEGRAM AND
JOIN OUR TELEGRAM CHANNEL💯
✅COME AND LEARN ABOUT
✅ HOW TO EARNING MONEY ONLINE
✅CARDING
✅SPAMMING
✅HACKING
✅GET FLASH BTC SOFTWARE
✅ LOG CONVERSATION TO BTC
✅ BUY GIFT CARDS
✅ COME FOR YOUR TRANSFERS WU AND PAYPAL
✅ GET VERIFIED BANK LOG HERE
✅SHOPS TO CARD
✅HOW TO TRANSFER PAYPAL ACCOUNT
✅HOW TO HACK PAYPAL ACCOUNT
✅HOW TO GET CC FREE


✅DOWNLOAD TELEGRAM APP FROM PLAY STORE, AND CLICK THE LINK ABOVE TO JOIN THE CHANNEL AND LEARN ALL THIS FREE


✅SHARE THE CHANNEL AND GET FREE USA NUMBER
✅CLICK HERE TO JOIN THE CHANNEL
👇👇👇👇👇👇👇👇👇.











[15/12, 2:08 am] +234 805 086 9875: Paste me any local bank or credit union for tomorrow cashout 💯🤑🔥
[15/12, 2:08 am] +234 816 896 6854: i need swift from swift.com for one way $100m

Old Wells Fargo needed now now for big bag Lagos only $90K
[15/12, 2:24 am] +234 803 191 9470: New/Old

BOA
BMO Harris
Travis Cu
Pnc Bank
Bbva Compass
Sonora Bank
Alliance Bank
Dacotah Bank
Santander Bank
Huntington Bank
Bank Of The West
Northwest Savings Bank

Holla If You Have Any For Sweet Deals.
Even If It’s A Minute Old. ✌️
[15/12, 6:13 pm] +234 803 191 9470: URGENTLY NEEDED FOR FUNDING
𝗡𝗘𝗪/𝗢𝗟𝗗 ✨✨✨

Andrews Fcu🔥🔥🔥
Mountain America Cu🔥🔥🔥
MIDFLORIDA Credit Union🔥🔥🔥
Sonora Bank🔥🔥🔥
Northwest Bank🔥🔥🔥
Bmo Harris🔥🔥🔥
America's First Federal Credit Union🔥🔥🔥
Dacotah Bank🔥🔥🔥
Fulton Bank🔥🔥🔥
First National Bank of Granbury🔥🔥🔥
BancFirst of Oklahoma🔥🔥🔥
Bank Of The West🔥🔥🔥
Sunflower Bank🔥🔥🔥
Santander Bank🔥🔥🔥
SRP Fcu 🔥🔥🔥
Community Bank Of Missouri 🔥🔥🔥
Navy Federal Credit Union 🔥🔥🔥
NORTHLAND AREA FCU 🔥🔥🔥
PEOPLES BANK 🔥🔥🔥
CITIZENS BANK 🔥🔥🔥

Cashout💰✅💯
Hit Me Up For Business Deals 🙏🏻
[17/12, 2:54 am] +234 814 969 2655: Bring info fresh or used let’s chop Rental & utility benefits fast before it end🏦 December are finally Months for paying 📵📵📵📵
Some states are closing it ooo⏱
Read before you message me 🚨📝👇👇👇👇

Mississippi Info needed ( client must be house owner ) $13000

Massachusetts info needed ( client must be Tenants) $17000

Rhode Island info needed (client must be Tenants)$15000

Connecticut info Needed ( Client must be Tenants) $10,000

Arizona info needed ( Client must be Tenants) $10000

Active client Wyoming info needed ( client must be Tenants)$26,000

Kentucky info needed ( Client must be Tenants) $8600

Delaware info needed ( client must be Tenants) $20,000

Client with with 700+ credit score above should come Loan $10k & cc application

Colorado info needed ( client must be Tenants)14,000k$

Indiana Info needed ( Client must be Tenants) $12,000

Nebraska Info Needed ( Client must be Tenants) $10,000k

Washington Info needed= Must be Tenant & live in the following County ( Clark County,Snohomish County ,Pierce County, Seattle / King County

If your client is from Illinois in this follow County = Chicago ,Lake County, Champagne county ,MCHenry County, Winnebago county, info Needed for $9000

You got clients in McLean county Kentucky? Dm $8k instant

Active Oklahoma info Needed fresh or used ( client be must be Tenants) $13,000
🚨All clients must be Tenants ( Pennsylvania, Maryland, Arkansas)

Business info needed for $58k 💰
local or prepaid accounts accept
No bank at all ,come let’s fix it

No sefie💡
December don reach 💰
Active client =fast approval
Inactive clients =10 days approve
Don’t ask me questions if you are not serious I will not ans any rubbish question
Paid proof available 🏦
 
Back
Top Bottom