Tapeli: Manase Jackson, kuweni makini

Tapeli: Manase Jackson, kuweni makini

Huyo jamaa john kidogo nijichanganye nami nimtumie hela

Nikampa mtihani kidogo anipe majaribio hata masaa 12 ndipo nimtumie hela

Jamaa kuona vile tulipokuwa tunchart nae akalala mbele jumla
 
Wajumbe salaam,

Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.

Watch out people, ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.

Vyombo husika kama mpo chukueni hatua. Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu. Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.
Kwani ofisi za dstv huzijui mpaka ufungiwe na mtu barabarani? Cheap is expensive bro!
 
Wajumbe salaam,

Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.

Watch out people, ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.

Vyombo husika kama mpo chukueni hatua. Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu. Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.
Kalipoti Polisi kama kweli unawapenda na kueajali wenzako
 
Wajumbe salaam,

Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.

Watch out people, ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.

Vyombo husika kama mpo chukueni hatua. Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu. Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.
ni wa hapa jf?
 
Mwaka huu tutashuhudia mengi...mkulu alisema hadi makanisani
 
Wajumbe salaam,

Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.

Watch out people, ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.

Vyombo husika kama mpo chukueni hatua. Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu. Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.
Umeshindwakumchukuliaa hatuaa vyomboo viyawezaje mpwaa
 
Hao akina manase wanaanza kutafuta hela ya kwenda milimani mara tu mwaka unapoonza, shauri zenu.
MNIKIONA MANASE JAN SIFANYI NAE BIASHARA HAWAJAMAA UKOOWAOO DEX N JAN KUINGIA FEB SO WANAENDELEA KUPIGA MPAKA 29 NDIOO WANAENDA MOSHI
 
Wajumbe salaam,

Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.

Watch out people, ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.

Vyombo husika kama mpo chukueni hatua. Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu. Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.
WANAKIMBIAAA HAWANAAA BREAAAK

WHAT D U EXPECT???
 
Kiukweliiii HUU MWAKA WABUNIFU WA UTAPELII WATAJAA WENGI MAJUZI KALIAA DADAYETU NA FLAT SCREEN YAANI TUTARAJIE MUENDELEZO WAMATUKIOO

NA TUNAPOELEKEA ATAKUJA MTU KUDAI KAIBIWA GARI NA KAMPAMHUSIKA FUNGUOO MWENYEWE NNUBUNIFU U
 
Cyo kila anayetapeliwa anapenda vya bure....some people believes others easily and end up getting hurt.
Kama ni ghari huwezi amini kirahisi, dstv inalipiwa kwa gharama kubwa sana ndo maana kawashika kirahisi, hebu chukulia kama amesema anaunganisha ving'amzi vya startimes kama watu wangehamasika, tatizo watu wanapenda vitu vya gharama kwa bei rahisi ndipo hapo wanapokamatiwa, na ukiona mtu anakifanya kitu cha bei ghari kwa bei rahisi itakubidi ukubali risk yoyote itakayotokea
 
HAPAKAZITUUU
 
Attachments

  • downloadfile-2.jpg
    downloadfile-2.jpg
    14.3 KB · Views: 30
  • downloadfile-3.jpg
    downloadfile-3.jpg
    32.7 KB · Views: 28
Na HUYU HIVI NI KWELI AU KESHALIZA WATU WA DAR

*VODACOM MEGA BUNDLE*
1400min to all networks.
10000 sms.
5GB data
Valid for 1 month.
Price 9000Tsh only
*AIRTEL MEGA BANDO*
300min all Networks
300 SMS
12GB
Valid for 6 month
Price 9000tsh.
*NOTE :KAMA UPO MKOANI USINITAFUTE THIS OFFER IS FOR DAR ONLY.I HAVE TO CONFIGURE YOUR SIMCARD MANUALLY SO WE HAVE TO MEET*
Call 0713388226
Sawa huyu mnakutana kabisa,anaifanyia makeke simcard yako,mzigo unaingia ndo mnalipana!,Kuna jamaa alikuwa anafanya hivyo kwa line za Tigo,Huwa maranyingi Ni watu WA hizo kampuni.
 
"Tapeli wa Kimya kimya" ni tapeli wa aina gani? Huwa anakutapeli bila kupiga mayowe ama!?
Pole kwa kuliwa kimya kimya mkuu.
 
Back
Top Bottom